Kamwe usimwamini mwanamke!.

Kamwe usimwamini mwanamke!.

Ndugu zangu (me) kamwe usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama ako mzazi!! hata kama ni mzur kiasi gani,haijalishi anakupikia birian au lah! unaweza jitoa kwa moyo wako wote,unaweza kushindia mihogo na maji yy akala chips kuku lkn mwishowe akakusaliti na kukufanyia unyama wa ajabu! Hebu jiulize swala dogo tu! Kama anaweza kutoa mimba au kutelekeza kichanga cha Mwenyezi Mungu jalalani ww n nani haswa akuache! Hawa viumbe hawaeleweki! Mwanamke unaekutana nae wakati keshaota meno 32 anaweza kukufanyia lolote na kwa wakatiwowote! Usimchekee sababu sio mama ako mzazi! Wanaume wenzangu mtanielewa ila wavulana siwalazimishi kunielewa.Mwanamke unaemuweka ndani na kumpa siri zako zote ndo adui ako mkubwa kesho! Hawa viumbe wametumwa kutuangamiza!
hawajashurutisha kuoa kwenye maandiko,ila funguka mkuu mbona.....
 
Katika mambo uliyochelewa kuyajua tena ya muhimu ni hili...akisema nakupenda tabasamu kisha tizama kushoto na kulia isijeikawa kuna mtu kawasikia ikawa aibu siku akishit
 
Kuna jamaa kambaka mtoto wake wa kumzaa, mweny umri wa miak mi 3 tuu!!!!!
 
Hakuna mwenye kuhudumiwa akaishia kutoa mimba yako au kutupa kichanga chako.Yawezekana una hoja ya msingi ila kwa namna ulivyoandika sidhani km kuna ambaye atakuelewa.!!
Kuna wakat mwingine hata mama mzazi unaweza usimuamini pia.
Ndugu zangu (me) kamwe usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama ako mzazi!! hata kama ni mzur kiasi gani,haijalishi anakupikia birian au lah! unaweza jitoa kwa moyo wako wote,unaweza kushindia mihogo na maji yy akala chips kuku lkn mwishowe akakusaliti na kukufanyia unyama wa ajabu! Hebu jiulize swala dogo tu! Kama anaweza kutoa mimba au kutelekeza kichanga cha Mwenyezi Mungu jalalani ww n nani haswa akuache! Hawa viumbe hawaeleweki! Mwanamke unaekutana nae wakati keshaota meno 32 anaweza kukufanyia lolote na kwa wakatiwowote! Usimchekee sababu sio mama ako mzazi! Wanaume wenzangu mtanielewa ila wavulana siwalazimishi kunielewa.Mwanamke unaemuweka ndani na kumpa siri zako zote ndo adui ako mkubwa kesho! Hawa viumbe wametumwa kutuangamiza!
 
Hakuna shida tumekuelewa mkuu. Ila tafuta elimu ya mahusiano sawa acha kukurupuka. Unapswa kusoma alama za nyakati. Sio kila kitu unapanua domo kisa mke wangu au mpenzi wa moyoni.

Utaangamia vibaya mno
Ndugu zangu (me) kamwe usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama ako mzazi!! hata kama ni mzur kiasi gani,haijalishi anakupikia birian au lah! unaweza jitoa kwa moyo wako wote,unaweza kushindia mihogo na maji yy akala chips kuku lkn mwishowe akakusaliti na kukufanyia unyama wa ajabu! Hebu jiulize swala dogo tu! Kama anaweza kutoa mimba au kutelekeza kichanga cha Mwenyezi Mungu jalalani ww n nani haswa akuache! Hawa viumbe hawaeleweki! Mwanamke unaekutana nae wakati keshaota meno 32 anaweza kukufanyia lolote na kwa wakatiwowote! Usimchekee sababu sio mama ako mzazi! Wanaume wenzangu mtanielewa ila wavulana siwalazimishi kunielewa.Mwanamke unaemuweka ndani na kumpa siri zako zote ndo adui ako mkubwa kesho! Hawa viumbe wametumwa kutuangamiza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom