kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 418
- Thread starter
-
- #101
Nilianza na 300,000/nilifungua genge la mazaga ya nyumban
- Je ni biashara gani?
- Mtaji ulikuwa kiasi gani?, ambapo ukaanza na faida ya 5k , kisha ikawaa faida ni 12k kwa siku.
- Je hilo eneo ulilofungulia biashara hakuna wengine wenye biashara kama yako? Kma wapo wengine je nini cha ziada ulifanya ili kuwavutia wateja?
Mkuu huyu muachesinikama wewe tuu unavyosema Kuna watu wanaingiza mamilioni kwasiku ila hujataja biashara wanazo fanya
Nilianza na 300,000/nilifungua genge la mazaga ya nyumban
Tofauti Yao na Mimi nilikuwa natafuta bidhaa kwenye msambazaji wa kwanza mara nyingi bidhaa ik8shapitia mikono mingi ya dalali Huwa Bei juu sana
Kwa hiyo nilikuwa naagiza nyanya Tenga Zima namuomba huyo anichangabyie mbichi kias ili niweze kuuza hata siku tatu bila nynya kuharibika
Pia nilikuwa nafungua mapema na kufunga usiku sana
Kitu kama parachichi nilikuwa naenda kusaka mwenyewe shambani au masoko ya matunda Kisha nauza Bei ndogo
Ila bidhaa ni nzuri na Bei ndogo
Mboga za majani nilikuwa nafuata kwenye bustani nanunua kabustan kazima navuna mwenyewe
ukilinganisha na jirani yangu
Pia nilikuwa na meza ya kuuza matunda yaliyokatwa
Kwa kila sahani buku
Matunda yanayovutia
NB
Kazi ya kuuza genge nilimpa msichana mmoja akawa anauza kama kawaida nikitoka job Mimi nakuja kumpokea yéye anaenda kupumzika ili kesho awahi kufungua.
Yaani unaleta jambo public ambalo halipo kiuhalisia Unataka ukubaliwe tu.Ukiona jambo halikuhusu liache upite tu
Kazi yangu mwisho saa tisaUnapata wapi muda wa kwenda kufata maparachichi mashambani wakati umesema kabisa umeajiriwa .
Ukiwa muongo anatakiwa uwe na kumbukumbu dogo
Hata hivyo nakuwa na off dayUnapata wapi muda wa kwenda kufata maparachichi mashambani wakati umesema kabisa umeajiriwa .
Ukiwa muongo anatakiwa uwe na kumbukumbu dogo
Bado una rizimu kichwani?Yaani unaleta jambo public ambalo halipo kiuhalisia Unataka ukubaliwe tu.
Uongo ukisemwa sana na ukiachwa bila kupingwa unaonekana ni ukweli.
Embu jifunze kutunga story za kueleweka wewe junior motivational speaker
Nina akili za uchumi na biashara kulipo wewe Kwa jinsi ulivyoleta story yako.Hata hivyo nakuwa na off day
Naitumia kufanya nini?
Ndio muda natumia kujiongeza kiakili na kiuchumi
Nisiponunua kwa mkulima moja kwa moja nanunua kwa mtu aliyetoka kwa mkulimaNina akili za uchumi na biashara kulipo wewe Kwa jinsi ulivyoleta story yako.
Halafu Kwa taarifa yako sijawahi kusikia eti mkulima wa parachichi anamuuzia parachichi mfanyabiashara wa parachichi wa kwenye magenge.
Yaani wewe unauza parachichi kwenye genge la mtaani unaenda kununua parachichi moja Kwa moja shambani Kwa mkulima?
Hata njombe hawafanyi hivyo.
Nakwambia story yako ya uongo
Usitoe location mzee watu Sio.Mtu anayetaka ufafanuzi Mimi ni muwazi nitamfafanulia
Pengine akitaka nitampa Hadi location ili tu ajiridhishe,
Sijawahi kuwaza Wala sitafikiria huyu braza anataka tufanye hivyo
Hawajui mahebu niliyopigaWajuaji lazima wakuone fala tu kungangania huo mshahara
Mkulima anauza parachichi kwa nani!Embu ficha upumbavu wako huko.
Hakuna mkulima wa parachichi anayeuza eti mti mmoja wa parachichi Kwa mfanyabiashara.
Huyo atakuwa sio mkulima wa parachichi ninaowajua Mimi.
Acha kujifanya unahamasisha watu Kwa fake story.
Muuza genge wa mjini hata Njombe mjini hawezi kwenda kununua parachichi moja Kwa moja Kwa mkulima
Sorry brooEmbu ficha upumbavu wako huko.
Hakuna mkulima wa parachichi anayeuza eti mti mmoja wa parachichi Kwa mfanyabiashara.
Huyo atakuwa sio mkulima wa parachichi ninaowajua Mimi.
Acha kujifanya unahamasisha watu Kwa fake story.
Muuza genge wa mjini hata Njombe mjini hawezi kwenda kununua parachichi moja Kwa moja Kwa mkulima
Hongera mkuuMkuu
Hiyo inategemeana na aina ya mtu
Siyo kila mchumba ni WA kusomeshwa
Nilijitoa tu kimaso maso
Tuongeze juhudiHakika, mapambano daima...