Jana tar 10.01.2024 Nilipata ajali mbaya sana

Fazz

JF-Expert Member
Mar 14, 2019
362
571
Wakuu kwema natumai mu wazima

Jana ni moja ya siku mbaya sana kwenye harakat zangu .Nikiwa na chombo yangu tvs king bajaj mitaa ya ubungo karibu na njia panda ya chuo darajani pale nikiwa na abiria watatu ,Gari aina ya coaster ya abiria yenye no T 446 DXT iligonga bajaj yangu kwa nyuma kitu kilichosababisha bajaj iponduke kiupande na kusababisha kioo cha mbele kupasuka na focol (foko) kupinda na nyuma kubonyea sana luckly engine haikuguswa

.Kwa upande wangu na abiria hakikua na madhar makubwa San zaidi ya michubuko .Baada ya gari hilo kugonga chombo changu jamaa alikimbia na gari but lukly kuna wadau walinasa plate number bad enough kulikua na askari pale mataa ila waligoma kutoa ushirikiano kwamba lile sio eneo Lao so depressed nikakongoja bajaj yangu iliyoumia vibaya sana mpaka garage iliyokua karibu

Nimeapa kuisaka gari kwa udi na uvumba mpaka niipate na akigoma kulipa lazima kisheria au past na sheria dereva awajibike

Fundi anataka almost 500k ili chombo irufi rod I'm so angry kwa jamaa kutaka kuniua na kukimbia ....Nitaleta mrejesho

Rejea
 
Pole kwa mkasa uliokupata

Jambo la kumshukuru Mungu ni kuwa nyote mmetoka salama, maana Bajaj ina spare lakini roho ikitoka huwezi kuwa hai tena

Jambo la kuendelea kukumbushana kwa watumiaji wa barabara ni kuwa makini uwapo barabarani, uwe dereva wa chombo cha moto ama mtembea kwa miguu
 
Pole mzee, kikubwa uzima, pili huyu muhuni msake, wakati mwingine askari ni bora uMBWA.
mara moja gari kubwa ilinigonga ubavuni, nashukuru hakuna aliyeumia, askari walikuwepo ika wakata kuleta mambo meengi, mie nilikuwa nawahi mazishi ya bibi yangu, nikaachana nao, gharama baadae fundi akataka 180k, inaumiza kutoa hela kizembe namna hiyo.
 
Leejay49 ulikuwa sahihi
 
Pole sana.

Bima hapo ndiyo kazi yake, fata taratibu za kulipiwa na bima yako matengenezo.
 
Nashkuru mkuu vifo tunatembea navyo ..Ni kweli tunazinguaga ila jana haha madaladala yalikua yanafukuzana
 
Pole mzee, kikubwa uzima, pili huyu muhuni msake, wakati mwingine askari ni bora uMBWA.
mara moja gari kubwa ilinigonga ubavuni, nashukuru hakuna aliyeumia, askari walikuwepo ika wakata kuleta mambo meengi, mie nilikuwa nawahi mazishi ya bibi yangu, nikaachana nao, gharama baadae fundi akataka 180k, inaumiza kutoa hela kizembe namna hiyo.
Sure mkuu huyu nimededicate wiki hii kwa ajili yake nitampata tu lazima ate me bingo..Askari wanaangaliag maslahi yao tu hata sio usalama ..f#k cops
 
Pole sana.

Bima hapo ndiyo kazi yake, fata taratibu za kulipiwa na bima yako matengenezo.
Mkuu taratibu ni pamoja na askari kuja kipima ajali sina no ya askari yoyote walipo wananiangalia tu nimekaa almost 1 hr hata bima watanielewa kwel bima ndogo
 
Back
Top Bottom