nebuchadnezzer
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 246
- 344
Kamwe usifanye jambo kwa kushindana na mwingine kwasababu siku akifa huyo unayeshindana naye, na malengo yako yanafia hapo hapo..kwasababu aliyekuwa anakufanya uwajibike hayupo tena.
Lakini ukijifunza kutimiza malengo yako, kwa kuzitazama ndoto zako, hamasa yako haitaathiriwa na mabadiliko yoyote ya nje. Na utafanya vizuri.
Wafilipi 2:14
[14]Yatendeni mambo yote pasipo manung’uniko wala mashindano,
rejeabiblia.com