Kamwe sitakuja kutoa mahari!

Kamwe sitakuja kutoa mahari!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari

Sent by Diaspora
 
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wale haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari

Sent by Diaspora
Sawa Mkuu tunayaheshimu mawazo yako na hongera kwa kuanzisha uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari

Sent by Diaspora
Mzee mahari ni Kama heshima kwa familia au zawadi na watu hawalipi kwajili ya bikira .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari

Sent by Diaspora
Bikra itakusaidia nini? Katika maisha yenu ya ndoa
 
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari

Sent by Diaspora
naunga mkono hoja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuoa wee angalia gari limetembea kilomiter ngapi. Sio lazima liwe jipya
. Maana mengine yanaendeshwa kwanza viwandani nakubeba mizigo mizitu humo viwandani halafu linapakwa rangi upya. Kikubwa kilomiter zisiwe nyingi kuepuka marwkebisho ya mara kwa mara baada ya kulimiliki.

Chagua kusuka au kunyoa
 
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari

Sent by Diaspora
Daaah kwel hapo umenena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom