Kamwaga na mitandao ya kijamii

Unakumbuka Kijiko alivyomuumiza Kazimoto?? Au ilikuwa hali ya mchezo 2?? Boban kumvunja Yondani ndo issue..

Kijana Naanza kuhoji elimu yako??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu nadhani unaugomvi binafsi na huyu Msemaji wa club! Kimsingi sioni hoja yoyote zaidi ya kudhihirisha unazi wako kwa Yanga ! Unasema unawasiwasi na elimu ya huyu bwana , lakini hata mimi nawasiwasi na UELEWA WAKO WEWE BINAFSI PIA! Hivi wewe katika maisha yako rafu pekee uliyowahi kuiona ni ya Haruna Moshi kwa Yondani? Ni mara ngapi mechi za simba na yanga wachezaji wa simba wameumizwa bila Yanga kama Klabu kuomba samahani? unakumbuka mwinyi Kazimoto alipoumizwa , je nyinyi Yanga mliomba samahani? Then unazungumzia nidhamu ya wachezaji na viongozi wa simba, ama kweli nyani haonin kundule! Hivi sio nyinyi Yanga mliompiga mwamuzi kwenye mechi na Azam na bado hakuna kiongozi wa yanga aliyeomba samahani zaidi ya kuwatetea wachezaji wenu? Na bado hao viongozi wa TFF sababu wote ni Yanga wenzako wakawafungia mechi chache tu kinyume na kanuni! Hivi kosa la kupiga refa adhabu yake ni kukosa mechi 3? Siuoni usomi wako hata kidogo kama huna kumbukumbu ndogo tu kama hizi nilizokupa! Ungekuwa na elimu kama unavyojinasibu usingeegemea upande wowote ila kuwasema wote simba na yanga wanamatatizo watu wangekuelewa. Sioni hoja za kimsingi zaidi ya kum attack personally huyu bwana. Msomi hujenga hoja kwa facts and references na si kusukumwa na mapenzi yake binafsi! Inawezekana huyu bwana anamapungufu yake hatukataai but na wewe umeonyesha mapungufu makubwa ktk kujenga hoja hivyo nakushauri na wewe ukatafute chuo urudie masomo!

Pointi tupu mwanzo mwisho, unazi haufai bali haki kote kote.
 
mashabiki wa yanga siwatofautishi na washabiki wa sisiemu, akili zao zinafanana kwenye kufikiri,

Well stated ndo maana timu yao ikifunga goli utawasikia wanalipuka kwa kushangilia nyinyiemu (CCM) mara kadhaa
 
Back
Top Bottom