Hivi wewe na viongozi wako wale wa zamani na wa sasa mlishawahi kuomba radhi kwenye ishu yenu ya wachezaji ya kumpiga refa au wewe kila siku mbio mbio kwenye TV kumsikiliza Kamwaga kasema nini, halafu tena mbio mbio kwenye computa yako kuja kutujulisha humu JF?
Kaka usione Viongozi waliwapigania wapunguziwe adhabu,waliadhibiwa wale,wote walikatwa mishahara kama ulikuwa hufahamu muulize Stephano Mwasyika hata juzi Msuva amepewa onyo kali kwa kufanya kosa la kizembe lililomsababishia card nyekundu inanishangaza kuona Viongozi wenu ndo kwanza wanalalamikia Card za Okwi na Maftah na juzi tena issue ya Boban mnatuchimba mikwara eti Mwanasheria,Uanasheria si fani tu kama ilivyo fani nyingine yeyote ya kitaalamu?
Sina taarifa kama waliadhibiwa lakini kwa nini haikusikika kuomba radhi hata siku moja, hata wachezaji wenyewe isipokuwa Niyonzima pekee ndo aliomba radhi, lakini ni kuadhibiwa kimya kimya fuatilia hii link wadau wa Simba wanavyopendekeza kwa wachezaji waliopewa red card.
Sare yaikoroga Simba
aibu tupu soka letu,huyu boban kila leo anamatukio ya ajabu hasa kuumiza wenzake nashangaa simba viongozi wa simba hawamchukulii hatua kali,nafikiri wanaogopa atawavutia mibangi ili nao watembelee kichapo kitakatifu
Mkuu nadhani unaugomvi binafsi na huyu Msemaji wa club! Kimsingi sioni hoja yoyote zaidi ya kudhihirisha unazi wako kwa Yanga ! Unasema unawasiwasi na elimu ya huyu bwana , lakini hata mimi nawasiwasi na UELEWA WAKO WEWE BINAFSI PIA! Hivi wewe katika maisha yako rafu pekee uliyowahi kuiona ni ya Haruna Moshi kwa Yondani? Ni mara ngapi mechi za simba na yanga wachezaji wa simba wameumizwa bila Yanga kama Klabu kuomba samahani? unakumbuka mwinyi Kazimoto alipoumizwa , je nyinyi Yanga mliomba samahani? Then unazungumzia nidhamu ya wachezaji na viongozi wa simba, ama kweli nyani haonin kundule! Hivi sio nyinyi Yanga mliompiga mwamuzi kwenye mechi na Azam na bado hakuna kiongozi wa yanga aliyeomba samahani zaidi ya kuwatetea wachezaji wenu? Na bado hao viongozi wa TFF sababu wote ni Yanga wenzako wakawafungia mechi chache tu kinyume na kanuni! Hivi kosa la kupiga refa adhabu yake ni kukosa mechi 3? Siuoni usomi wako hata kidogo kama huna kumbukumbu ndogo tu kama hizi nilizokupa! Ungekuwa na elimu kama unavyojinasibu usingeegemea upande wowote ila kuwasema wote simba na yanga wanamatatizo watu wangekuelewa. Sioni hoja za kimsingi zaidi ya kum attack personally huyu bwana. Msomi hujenga hoja kwa facts and references na si kusukumwa na mapenzi yake binafsi! Inawezekana huyu bwana anamapungufu yake hatukataai but na wewe umeonyesha mapungufu makubwa ktk kujenga hoja hivyo nakushauri na wewe ukatafute chuo urudie masomo!Jana nilimsikia kupitia kituo cha Television cha ITV Msemaji(ovyo) wa Simba (Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara) Bwana Ezekiel Kamwaga akiujulisha uma wa watanzania hatua wanazojiandaa kuchukua kama team dhidi ya watumia mitandao ya kijamii wote wanaochangia hoja ambazo pengine hazimfurahishi yeye,Viongozi wenzake,na team anayoitumikia kwa ujumla.
Lazima niseme kama ilivyo siku zote jana Kamwaga ameendelea kuongeza shauku yangu ya kutaka kumjua vizuri background yake,elimu yake na mambo kadhaa yanayoweza kujenga weredi wa mtu, Kamwaga aliyekuwa aki'respond to swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua maoni yake kuhusiana na Haruna Moshi "Boban" baada ya kumchezea rafu iliyoonekana kuwa mbaya mchezaji wa Yanga Kelvin Yondani,aliishia kulaumu watu wanaomshutumu Boban kwa mchezo ule na kumtolea maneno aliyoyaita makali kwenye mitandao ya Kijamii huku akitoa ahadi ya kuwashughulikia, nanukuu "..Simba sasa tunajiandaa kuwashughulikia wale wote wanaomtolea maneno makali mchezaji wetu Haruna Moshi,tumeshaongea na Mwanasheria wetu na tutachukua hatua...." mwisho wa kunukuu.
Kwanza sijajua hivi huu "utumbo" anaouongeaga mara ka mara Msemaji(ovyo) wa hii team huwa ni official taarifa za Club au ni matamshi yake binafsi? Binafsi nafikiri hili ni tatizo kama si la Kamwaga binafsi basi ni la safu nzima ya uongozi wa mabingwa hawa,haiwezekani wawe na mahaba yaliyopitiliza kwa baadhi ya Wachezaji wao kiasi cha kutoona matatizo yao hata pale yanapojionyesha wazi, issue ya utovu wa nidhamu kwa Haruna Moshi "Boban" siyo ya kwanza,aliwahi kumkung'uta ngumi mchezaji mwenzake mbele ya wachezaji wenzake na baadhi ya viongozi na hakufanywa kitu,haya juzi kamvunja mfupa gani sijui beki tegemeo wa team ya Taifa wakati mwenyewe Haruna Moshi akijutia suala lile na kunukuliwa na vyombo vya habari mbalimbali uongozi wa Simba kupitia Msema(ovyo) huyo wanaona ndo kwanza mchezaji wao anaonewa,mi nilitegemea uongozi wa Simba ungekuwa wa kwanza kukaripia tukio lile kwani licha ya kumsababishia matatizo mchezaji wa team ya Taifa lingeweza hata kuigharimu team yake kama Mwamuzi angekuwa fair,je huku si kuficha maradhi ambapo mwisho wake kila mtu anaujua?
Anyway mambo ya Ngoswe namwaachia Ngoswe mwenyewe lkn ninachotaka kumshauri Bwana Kamwaga huu ni wakati wa kuitumia nafasi hii ya kuwa Mwajiriwa wa team ya Dar-es-salaam kwa kuongeza elimu kidogo ili aweze kuongeza weredi wake,elimu ni factor muhimu sana katika kuongeza upeo wa mtu kuelewa,Dsm kuna centre nyingi sana anaweza ku'reseat kama alikuwa hajamalizana na NECTA issue za Credit na mambo mengine ya namna hiyo au kama alikuwa ameshasogeasogea kwenye level ya mbele mathalani Certificate zao zile za Journalism si vibaya akaanza mchakato wa kuitafuta Diploma na kuendelea mbele zaidi, hii itamsaidia kuongeza ufahamu wa yeye kama Msemaji wa team anatakiwa aisemee nini team yake na nini asiisemee,asiangalie umri Wahenga walisema elimu haina mwisho.
Nawasilisha!
Mkuu nadhani unaugomvi binafsi na huyu Msemaji wa club! Kimsingi sioni hoja yoyote zaidi ya kudhihirisha unazi wako kwa Yanga ! Unasema unawasiwasi na elimu ya huyu bwana , lakini hata mimi nawasiwasi na UELEWA WAKO WEWE BINAFSI PIA! Hivi wewe katika maisha yako rafu pekee uliyowahi kuiona ni ya Haruna Moshi kwa Yondani? Ni mara ngapi mechi za simba na yanga wachezaji wa simba wameumizwa bila Yanga kama Klabu kuomba samahani? unakumbuka mwinyi Kazimoto alipoumizwa , je nyinyi Yanga mliomba samahani? Then unazungumzia nidhamu ya wachezaji na viongozi wa simba, ama kweli nyani haonin kundule! Hivi sio nyinyi Yanga mliompiga mwamuzi kwenye mechi na Azam na bado hakuna kiongozi wa yanga aliyeomba samahani zaidi ya kuwatetea wachezaji wenu? Na bado hao viongozi wa TFF sababu wote ni Yanga wenzako wakawafungia mechi chache tu kinyume na kanuni! Hivi kosa la kupiga refa adhabu yake ni kukosa mechi 3? Siuoni usomi wako hata kidogo kama huna kumbukumbu ndogo tu kama hizi nilizokupa! Ungekuwa na elimu kama unavyojinasibu usingeegemea upande wowote ila kuwasema wote simba na yanga wanamatatizo watu wangekuelewa. Sioni hoja za kimsingi zaidi ya kum attack personally huyu bwana. Msomi hujenga hoja kwa facts and references na si kusukumwa na mapenzi yake binafsi! Inawezekana huyu bwana anamapungufu yake hatukataai but na wewe umeonyesha mapungufu makubwa ktk kujenga hoja hivyo nakushauri na wewe ukatafute chuo urudie masomo!
Jana nilimsikia kupitia kituo cha Television cha ITV Msemaji(ovyo) wa Simba (Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara) Bwana Ezekiel Kamwaga akiujulisha uma wa watanzania hatua wanazojiandaa kuchukua kama team dhidi ya watumia mitandao ya kijamii wote wanaochangia hoja ambazo pengine hazimfurahishi yeye,Viongozi wenzake,na team anayoitumikia kwa ujumla.
Lazima niseme kama ilivyo siku zote jana Kamwaga ameendelea kuongeza shauku yangu ya kutaka kumjua vizuri background yake,elimu yake na mambo kadhaa yanayoweza kujenga weredi wa mtu, Kamwaga aliyekuwa aki'respond to swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua maoni yake kuhusiana na Haruna Moshi "Boban" baada ya kumchezea rafu iliyoonekana kuwa mbaya mchezaji wa Yanga Kelvin Yondani,aliishia kulaumu watu wanaomshutumu Boban kwa mchezo ule na kumtolea maneno aliyoyaita makali kwenye mitandao ya Kijamii huku akitoa ahadi ya kuwashughulikia, nanukuu "..Simba sasa tunajiandaa kuwashughulikia wale wote wanaomtolea maneno makali mchezaji wetu Haruna Moshi,tumeshaongea na Mwanasheria wetu na tutachukua hatua...." mwisho wa kunukuu.
Kwanza sijajua hivi huu "utumbo" anaouongeaga mara ka mara Msemaji(ovyo) wa hii team huwa ni official taarifa za Club au ni matamshi yake binafsi? Binafsi nafikiri hili ni tatizo kama si la Kamwaga binafsi basi ni la safu nzima ya uongozi wa mabingwa hawa,haiwezekani wawe na mahaba yaliyopitiliza kwa baadhi ya Wachezaji wao kiasi cha kutoona matatizo yao hata pale yanapojionyesha wazi, issue ya utovu wa nidhamu kwa Haruna Moshi "Boban" siyo ya kwanza,aliwahi kumkung'uta ngumi mchezaji mwenzake mbele ya wachezaji wenzake na baadhi ya viongozi na hakufanywa kitu,haya juzi kamvunja mfupa gani sijui beki tegemeo wa team ya Taifa wakati mwenyewe Haruna Moshi akijutia suala lile na kunukuliwa na vyombo vya habari mbalimbali uongozi wa Simba kupitia Msema(ovyo) huyo wanaona ndo kwanza mchezaji wao anaonewa,mi nilitegemea uongozi wa Simba ungekuwa wa kwanza kukaripia tukio lile kwani licha ya kumsababishia matatizo mchezaji wa team ya Taifa lingeweza hata kuigharimu team yake kama Mwamuzi angekuwa fair,je huku si kuficha maradhi ambapo mwisho wake kila mtu anaujua?
Anyway mambo ya Ngoswe namwaachia Ngoswe mwenyewe lkn ninachotaka kumshauri Bwana Kamwaga huu ni wakati wa kuitumia nafasi hii ya kuwa Mwajiriwa wa team ya Dar-es-salaam kwa kuongeza elimu kidogo ili aweze kuongeza weredi wake,elimu ni factor muhimu sana katika kuongeza upeo wa mtu kuelewa,Dsm kuna centre nyingi sana anaweza ku'reseat kama alikuwa hajamalizana na NECTA issue za Credit na mambo mengine ya namna hiyo au kama alikuwa ameshasogeasogea kwenye level ya mbele mathalani Certificate zao zile za Journalism si vibaya akaanza mchakato wa kuitafuta Diploma na kuendelea mbele zaidi, hii itamsaidia kuongeza ufahamu wa yeye kama Msemaji wa team anatakiwa aisemee nini team yake na nini asiisemee,asiangalie umri Wahenga walisema elimu haina mwisho.
Nawasilisha!
Mkuu sina desturi ya kutoa kashfa,anyway inawezekana wewe ukawa unatafsiri kama kashfa wakati mimi naona ni sentesi/habari adirifu, Kaka usije kukuta the way ninavyomu'identify Bwn Kamwaga kama Msemaji(ovyo) wewe kwako unachukulia kashfa,embu nisaidie ni jinsi gani unaweza kumu'identify mtu ambaye kila mara anakuja kuueleza Uma habari fulani ambayo baadaye huja kudhihirika siyo ya kweli?Mkuu, naomba kutofautiana na wewe kwa kiasi kukubwa kwa kile ninachokiona kutoka kwako ikiwemo ubinafsi, unazi uliopindukia na hoja za kashfa zisizo la lazima.
Msingi mkuu wa hoja yangu haukuwa Kamwaga kukanusha Boban hakucheza rafu, msingi mkuu ulikuwa yale majibu na maelezo aliyoyatoa yalikuwa yanajibu swali aliloulizwa na Mtangazaji? na pale kwenye majibu yale ndo mashaka yangu juu ya weredi wa huyu Jamaa yanaposimamia.1. Kamwaga amesema Simba inawasiliana na wanasheria wake kuangalia namna ya kushughulikia watu wote wanaomtolea MANENO MAKALI mchezaji wao. Maneno makali ni kama vile kashfa, matusi, na maneno mengine yasiyo ya staha. Hapa ikumbukwe kuwa Kamwaga hajasema Boban hakucheza rafu, anachopinga ni mchezaji wao kusemewa maneneo ya kudhalilisha wakati kilichotokea ni tukio la kimchezo.
Vyote viwili vinatakiwa kukemewa Mkuu.Ni kweli Viongozi wa Yanga hawakusikika kuja kuomba radhi mbele ya hadhira lkn pia hawakusikika kuja kutetea utumbo ule wa wachezaji wao mbele ya media, mfano juzi Msuva kafanya kosa la kizembe umemsikia Mwana Yanga gani akimtetea? hakuna...na uongozi umempa onyo kali,sasa embu tuangalie upande wa 2..ni mara ngapi Viongozi wenu wamesikika wakitetea vitendo vya utovu wa nidhamu vinavyofanywa ndani na nje ya uwanja na wachezaji wenu?2. Hoja yako ya kusema yawezekana tatizo la kamwaga ni la safu nzima ya uongozi wa Simba, inaweza kuwa na mashiko lakini haiwezi kukamilika bila kuangalia kinachotokea upande wa pili yaani Yanga. Bado siamini kama timu kongwe kuliko zote haijaomba radhi umma wa watanzania kwa kitendo kisicho cha kiungwana cha kumpiga refa Israel Nkongo pasipo sababu za msingi. Si uongozi wala mashabiki wanaojutia tukio lile. Hebu tuwe wa kweli, ni kipi kinachotakiwa kukemewa na viongozi kati ya tukio la rafu ya Boban na kipigo cha wachezaji kwa refa?
Hapa si suala la fulani anazungumza jambo nisilolipenda kwahiyo lazima nitalipinga, hapa ni kuangalia wingi wa habari "matapishi" zinazotolewa na huyu aliyepewa dhamana za kuisemea 1 ya team kubwa kabisa Africa Mashariki kama si Africa nzima,wingi huo ndo unaonipa mashaka juu ya uelimikaji wa Mtoa habari huyu,I might be wrong lkn ni mashaka yanayo bling kwenye kichwa changu.3. Elimu ya Kamwaga - haiongezi tija kwenye hoja yako. Hata wenye elimu kubwa wanaweza kuzungumza kitu ambacho wewe hukipendi na ni dhahiri utakipinga. Naamini Kamwaga angezumza jambo unalolipenda usingechunguza elimu yake na badala yake ungesifia. Natamani tuwe tunatoa mawazo yetu bila kukashifiana, kudhalilishana au kutukanana.
Ingawa nimekuwa nikitofautiana mambo mengi na msemaji wa Simba kuanzia pesa za rambirambi za mafisango na pesa za zawadi za timu b ya Simba lakini mada yako umeiwasilisha kiushabiki zaidi kwanini umeshindwa kukemea kitendo cha Mwinyi Kazimoto kukanyagwa akiwa chini tena ameanguka au Ngasa kukatwa akiwa hana mpira na wote hao ni wachezaji wa timu ya Taifa kama Mwasika angeadhibiwa kama unavyosema sidhani kama angerudia utovu wa nidhamu na pia sijasikia kauli yoyote ya viongozi wa Yanga wakizungumzia matendo hayo ambayo wote tunajua hayakuwa ya kiuanamichezo kwani michezo hujenga upendo na urafikiJana nilimsikia kupitia kituo cha Television cha ITV Msemaji(ovyo) wa Simba (Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara) Bwana Ezekiel Kamwaga akiujulisha uma wa watanzania hatua wanazojiandaa kuchukua kama team dhidi ya watumia mitandao ya kijamii wote wanaochangia hoja ambazo pengine hazimfurahishi yeye,Viongozi wenzake,na team anayoitumikia kwa ujumla.
Lazima niseme kama ilivyo siku zote jana Kamwaga ameendelea kuongeza shauku yangu ya kutaka kumjua vizuri background yake,elimu yake na mambo kadhaa yanayoweza kujenga weredi wa mtu, Kamwaga aliyekuwa aki'respond to swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua maoni yake kuhusiana na Haruna Moshi "Boban" baada ya kumchezea rafu iliyoonekana kuwa mbaya mchezaji wa Yanga Kelvin Yondani,aliishia kulaumu watu wanaomshutumu Boban kwa mchezo ule na kumtolea maneno aliyoyaita makali kwenye mitandao ya Kijamii huku akitoa ahadi ya kuwashughulikia, nanukuu "..Simba sasa tunajiandaa kuwashughulikia wale wote wanaomtolea maneno makali mchezaji wetu Haruna Moshi,tumeshaongea na Mwanasheria wetu na tutachukua hatua...." mwisho wa kunukuu.
Kwanza sijajua hivi huu "utumbo" anaouongeaga mara ka mara Msemaji(ovyo) wa hii team huwa ni official taarifa za Club au ni matamshi yake binafsi? Binafsi nafikiri hili ni tatizo kama si la Kamwaga binafsi basi ni la safu nzima ya uongozi wa mabingwa hawa,haiwezekani wawe na mahaba yaliyopitiliza kwa baadhi ya Wachezaji wao kiasi cha kutoona matatizo yao hata pale yanapojionyesha wazi, issue ya utovu wa nidhamu kwa Haruna Moshi "Boban" siyo ya kwanza,aliwahi kumkung'uta ngumi mchezaji mwenzake mbele ya wachezaji wenzake na baadhi ya viongozi na hakufanywa kitu,haya juzi kamvunja mfupa gani sijui beki tegemeo wa team ya Taifa wakati mwenyewe Haruna Moshi akijutia suala lile na kunukuliwa na vyombo vya habari mbalimbali uongozi wa Simba kupitia Msema(ovyo) huyo wanaona ndo kwanza mchezaji wao anaonewa,mi nilitegemea uongozi wa Simba ungekuwa wa kwanza kukaripia tukio lile kwani licha ya kumsababishia matatizo mchezaji wa team ya Taifa lingeweza hata kuigharimu team yake kama Mwamuzi angekuwa fair,je huku si kuficha maradhi ambapo mwisho wake kila mtu anaujua?
Anyway mambo ya Ngoswe namwaachia Ngoswe mwenyewe lkn ninachotaka kumshauri Bwana Kamwaga huu ni wakati wa kuitumia nafasi hii ya kuwa Mwajiriwa wa team ya Dar-es-salaam kwa kuongeza elimu kidogo ili aweze kuongeza weredi wake,elimu ni factor muhimu sana katika kuongeza upeo wa mtu kuelewa,Dsm kuna centre nyingi sana anaweza ku'reseat kama alikuwa hajamalizana na NECTA issue za Credit na mambo mengine ya namna hiyo au kama alikuwa ameshasogeasogea kwenye level ya mbele mathalani Certificate zao zile za Journalism si vibaya akaanza mchakato wa kuitafuta Diploma na kuendelea mbele zaidi, hii itamsaidia kuongeza ufahamu wa yeye kama Msemaji wa team anatakiwa aisemee nini team yake na nini asiisemee,asiangalie umri Wahenga walisema elimu haina mwisho.
Nawasilisha!
mashabiki wa yanga siwatofautishi na washabiki wa sisiemu, akili zao zinafanana kwenye kufikiri,
hata jezi za timu yenu yanga na bendera za sisiemu zinafanana, so don't say nono no nooooo.........