mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Kwa mujibu wa chanzo changu pale TTCL bodi ya wakurugenzi imemteua bwana Kamugisha Kazaura kuwaCEO wa kampuni hiyo..kabla ya hapo alikua CTO wa kampuni hiyo.............kwa wale mnaomfahamu yeye na TTCL mnauzungumziaje uteuzi huo na kama ataweza kupambana na ushindani uliopo kwa maana ya kurudisha hadhi ya shirika hili iliyopotea kiasi cha kufanya uteuzi huu kuonekana kama propaganda..........!!
Niliambiwa kuhusu kuandsaliwa kwa huyu mtu miaka miwili iliyopita, moja ya watu waliokuwa wanapush ni baba yake. Hongera zake na tunamtakia kila la kheri katika kupambana na changamoto hizo za biashara ya simu
Kwa mujibu wa chanzo changu pale TTCL bodi ya wakurugenzi imemteua bwana Kamugisha Kazaura kuwaCEO wa kampuni hiyo..kabla ya hapo alikua CTO wa kampuni hiyo.............kwa wale mnaomfahamu yeye na TTCL mnauzungumziaje uteuzi huo na kama ataweza kupambana na ushindani uliopo kwa maana ya kurudisha hadhi ya shirika hili iliyopotea kiasi cha kufanya uteuzi huu kuonekana kama propaganda..........!!
Kamugisha Kazaura received the B.Eng. degree in Electronics and Communications Engineering from the University of Bath, UK, in 1995. He then worked as a telecoms engineer for the Tanzania Telecommunications Company Ltd. (TTCL), Dar Es Salaam, Tanzania, from 1996 to 2002. He later joined Waseda Universitys Graduate School of Global Information and Telecommunication Studies, Tokyo, Japan, where he received his M.Sc and PhD degrees in 2002 and 2007 respectively. He is now a full-time Visiting Lecturer at Waseda Universitys Advanced Research Institute for Science and Engineering (RISE). His research interests lie within the general fields of technologies for fixed and mobile high-speed wireless communication networks, free-space optical (FSO) communication systems and innovative access technologies for next generation networks. His current work involves research and development of an advanced DWDM Radio on Free-Space Optical Communication system suitable for transmission of multiple RF signals.
Hongera Dr Kazaura! Nakutakia kila la kheri katika juhudi za kulifufua shirika hili nyeti na muhimu katika Taifa letu.
You are scientifically wrong. Mimba haichukui zaidi ya siku moja kuingia.mpeni muda jamani hata mimba aiingii sikumoja
aliteuliwa kukaimu kama week 3 zilizopita lakini sasa amethibitishwa rasmi sio tena kukaimuKwa CEO wa TTCL, bodi haina mamlaka ya kumteua, anakaimu baada ya walikuwepo kusimamishwa.......
raha ya ccm hiyo,kurithishana nchiKukulia kwenye ufisadi, kusomeshwaa kifisadi, na kisha kurithishwa ufisadi kuna raha yake!