Kamuaaa Kamuaa baba, VINEGA mpoooo

Tamasha lilikua la bure,airtel walikua wanazindua madubwasha gani!!!
 
mwanamuziki wa bongo bwana kaziiii kweli na hawa wanamuziki wetu wa play back
 
Hy show ya Airtel ilikuwa free kuingia.,
 
walienda kuchukua wanafunzi wanaokaa kwenye mahostel na kuenda kuwajaza uwanjani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…