Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Asante nimepata madini hapa
 
[emoji45] [emoji54]
 
kampuni kubwa za kutengenez pesa zipo USA,UK,CHINA na RUSSIA na pia ukraine nao wanatengenez
hizi kampuni kazi yake si kutengenez pesa tu bali ujiusisha na kutengenez nishani,atm card,reseni na pasport
 
Kweli jamii forum bonge la darasa nimejua ata vitu ambavyo nilikuwa sijui hongera kwa muuliza swali na mjibiji kwani mmetufungua akili wengine
 
Asante "beno ndulu"
 
duuuh kumbe inamaana pesa mfano za kwetu sisi tunaweza tukacontroll thamani yake ipande au ishuke kwa kuiadimisha mitaani na nchi zingne? au cjamwelewa vizur #izzo!
Mkuu kuna njia sita za kuamua kushusha au kupandisha thamani ya fedha na pia zipo mpaka njia za kimafia za kupandisha au kushusha kama nilivyo sema hapo mwanzo kuwa ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi na pia thamani ya kitu chochote uamuliwa na nguvu ya soko sasa nikujibu kwa nn nilisema kuwa ku print print fedha bila ya sababu za msingi ni kubaya na pia kunachangia kushuka kwa thamani ya fedha

mfano Leo tukiamua ku print tuu fedha inamaana mzunguko wa fedha utakuwa mkubwa so kutapelekea mfumuko wa bei (differentials in inflation) kama nilivyo sema thamani ya fedha uamuliwa na nguvu ya soko so wafanyabishara watapandisha vitu bei na wananchi mtaona poa tu kwa sababu mnazo fedha mifukoni ebu fikilia Leo unanunua unga kilo sh elf 5 au sukari kilo sh elfu 10 Hv hapo kunaitaji degree kujua fedha yetu imeshuka thamani? ???
 
sasa hapo nimekuelewa vizur mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…