kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,504
- 4,351
Mambo ya erolink na customer services companies.Yani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi,nimefanya interview na kampuni X,mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani.kila nilikua nikiomba mkataba wa kazi naambiwa ntatumiwa nisiwe na presha.
Sasa jana nikawaambia siko tayari kufanya kazi bila mkataba,wakanitumia huo mkataba.Sasa cha ajabu huo
Mkataba badala ya kuwa umetoka kwa mwajiri wangu ambae ni kampuni X,cha ajabu mkataba umetoka kampuni Y ambae hata sijawahi kumuona wala kufanya nae mazungumzo ya aina yoyote,na mbaya zaidi huyo kampuni Y ni recruitment agent na eti naambiwa mshahara wangu atakua anaukata asilimia flani kama service fee.
Hapa nilipo niko zangu kwenye bus narudi home,mhindi anahaha kunipigia simu tuyajenge nimemwambia baki na kazi yako tu boss,ubabaishaji sitaki.
Hujawahi kukamatwa na njaa , watoto wanalia njaa sijui Kama utasimamia upande Gani. Kwa kiufupi jamaa Yuko sawa kihela , angekuwa hata amekopa hela sijui Kama angeweza kuongeaMambo ya erolink na customer services companies.
Safi mkuu tungekuwa wote tuko hivi taaluma zingeheshimika ila inasikitisha hapo atapatikana mwingine ambaye Yuko tayar kufanya kazi hata chini ya huo mshahara.
Afadhali wewe umeondoka kimyakimya,mimi nilishawahi kumshushia Mhindi mmoja tajiri mmoja wa kampuni hadi leo anasema toka azaliwe hajawahi kutukanwa na ngozi nyeusi km mimiYaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa ntatumiwa nisiwe na presha.
Sasa jana nikawaambia siko tayari kufanya kazi bila mkataba, wakanitumia huo mkataba. Sasa cha ajabu huo
Mkataba badala ya kuwa umetoka kwa mwajiri wangu ambae ni kampuni X, cha ajabu mkataba umetoka kampuni Y ambae hata sijawahi kumuona wala kufanya nae mazungumzo ya aina yoyote, na mbaya zaidi huyo kampuni Y ni recruitment agent na eti naambiwa mshahara wangu atakua anaukata asilimia flani kama service fee.
Hapa nilipo niko zangu kwenye bus narudi home, mhindi anahaha kunipigia simu tuyajenge nimemwambia baki na kazi yako tu boss, ubabaishaji sitaki.
Mambo ya ajabuuu kabisaa! Hao wanapaswa kushtakiwa.Yaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa ntatumiwa nisiwe na presha.
Sasa jana nikawaambia siko tayari kufanya kazi bila mkataba, wakanitumia huo mkataba. Sasa cha ajabu huo
Mkataba badala ya kuwa umetoka kwa mwajiri wangu ambae ni kampuni X, cha ajabu mkataba umetoka kampuni Y ambae hata sijawahi kumuona wala kufanya nae mazungumzo ya aina yoyote, na mbaya zaidi huyo kampuni Y ni recruitment agent na eti naambiwa mshahara wangu atakua anaukata asilimia flani kama service fee.
Hapa nilipo niko zangu kwenye bus narudi home, mhindi anahaha kunipigia simu tuyajenge nimemwambia baki na kazi yako tu boss, ubabaishaji sitaki.
Nini veve shabaan ipe toto bolo yako ichezeee (Mpe mtoto ball 🏀 yake achezeee)Nini veve shabaan
Mkuu unajielewa!Yaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa ntatumiwa nisiwe na presha.
Sasa jana nikawaambia siko tayari kufanya kazi bila mkataba, wakanitumia huo mkataba. Sasa cha ajabu huo
Mkataba badala ya kuwa umetoka kwa mwajiri wangu ambae ni kampuni X, cha ajabu mkataba umetoka kampuni Y ambae hata sijawahi kumuona wala kufanya nae mazungumzo ya aina yoyote, na mbaya zaidi huyo kampuni Y ni recruitment agent na eti naambiwa mshahara wangu atakua anaukata asilimia flani kama service fee.
Hapa nilipo niko zangu kwenye bus narudi home, mhindi anahaha kunipigia simu tuyajenge nimemwambia baki na kazi yako tu boss, ubabaishaji sitaki.
Ndio kazi ya pesa,,, ukiacha saula la kukupa uaezo wa kukojolea pazuri, pesa inapaswa kukusaidia to walk away fromsuch situations and people u dnt likeHujawahi kukamatwa na njaa , watoto wanalia njaa sijui Kama utasimamia upande Gani. Kwa kiufupi jamaa Yuko sawa kihela , angekuwa hata amekopa hela sijui Kama angeweza kuongea
GoodYaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa ntatumiwa nisiwe na presha.
Sasa jana nikawaambia siko tayari kufanya kazi bila mkataba, wakanitumia huo mkataba. Sasa cha ajabu huo
Mkataba badala ya kuwa umetoka kwa mwajiri wangu ambae ni kampuni X, cha ajabu mkataba umetoka kampuni Y ambae hata sijawahi kumuona wala kufanya nae mazungumzo ya aina yoyote, na mbaya zaidi huyo kampuni Y ni recruitment agent na eti naambiwa mshahara wangu atakua anaukata asilimia flani kama service fee.
Hapa nilipo niko zangu kwenye bus narudi home, mhindi anahaha kunipigia simu tuyajenge nimemwambia baki na kazi yako tu boss, ubabaishaji sitaki.
Fvck idiot IndiansYaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.