bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Nilikua nadhani hii mambo ya kukuta uchafu kwenye chupa ya soda ya kampuni flani kua ni hujuma ya kampuni inayoshindana nayo,kumbe sio kweli leo nimekutana nayo live soda kutoka depo ya PepsiCo ina bonge la liuchafu kwenye chupa,hivi sasa vipi kuhusu afya zetu na vile viuchafu ambavyo havionekani kwa macho?
Yani mlaji wa Tanzania afya yake imewekwa rehani kiasi cha kusikitisha.Mamlaka yanayosimamia ubora wa hizi bidhaa wako wapi?
Yani mlaji wa Tanzania afya yake imewekwa rehani kiasi cha kusikitisha.Mamlaka yanayosimamia ubora wa hizi bidhaa wako wapi?