M munishi Member Jan 28, 2011 16 3 Jul 12, 2011 #1 Jaman wana jamii haya makampuni ya simu hapa Tz wanaajiri vipi? maana kila wanaongeza ofisi ila sioni wanatangaza ajira
Jaman wana jamii haya makampuni ya simu hapa Tz wanaajiri vipi? maana kila wanaongeza ofisi ila sioni wanatangaza ajira
Kivumah JF-Expert Member Jan 7, 2008 2,428 1,050 Jul 12, 2011 #2 Wewe peleka CV yako iache/isahau hapo. Utaingizwa kwenye Data Base, nafasi ikitokea kama una bahati zako utaitwa. Mambo ya kutangazatangaza nayo ni Gharama.
Wewe peleka CV yako iache/isahau hapo. Utaingizwa kwenye Data Base, nafasi ikitokea kama una bahati zako utaitwa. Mambo ya kutangazatangaza nayo ni Gharama.
L'AMOUR Senior Member Mar 8, 2011 110 24 Jul 12, 2011 #3 Mbona huwa wanatangaza mkuu ni kwamba ni lazima uwe karibu na information utapata au la wanatumia job agent.
Mbona huwa wanatangaza mkuu ni kwamba ni lazima uwe karibu na information utapata au la wanatumia job agent.
nelugendo Member Jul 7, 2011 11 3 Jul 13, 2011 #4 unataka ipi?kama ni cutomer care huwa wana peleka tenda kwa recruitment agents