Elly255
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 882
- 1,433
Habari wana jamvi. Swali langu naulizia kama kuna kampuni za kitanzania ambazo ni za kuaminika. Wanaweza kutengeneza software mfano apps na sysytem za kulink mteja na mtoa huduma.
Nataka nitimilize wazo langu .
Picha ya kitu ninachikosemea ni mfano wa booking.com japo mimi nataka niifanye kwenye sekta ingine kabisa.
Karibuni kwa mawazo yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nitimilize wazo langu .
Picha ya kitu ninachikosemea ni mfano wa booking.com japo mimi nataka niifanye kwenye sekta ingine kabisa.
Karibuni kwa mawazo yenu
Sent using Jamii Forums mobile app