Kampuni ya usafi Tanzania

gentlemanx

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
2,375
7,216
HABARI ZENU WANA JF...mimi ni mhitimu wa chuo,nadhani kama mnavyofaham jinsi ajira ilivyo ngumu Tanzania,so niliamua kufungua kampuni itakayo deal na tenda za usafi wa barabara pamoja mafisini,

Naombeni msaada kwa yeyote ambaye ni mzoefu kupata hizi tenda

Shukrani.
 
HABARI ZENU WANA JF...mimi ni mhitimu wa chuo,nadhani kama mnavyofaham jinsi ajira ilivyo ngumu tanzania,so niliamua kufungua kampuni itakayo deal na tenda za usafi wa barabara pamoja mafisini,

naombeni msaada kwa yeyote ambaye ni mzoefu kupata hizi tenda

shukrani.
Pita katika ofisi za makampuni mbali ili kuuza huduma.yako mkuu
 
Sajili kampuni yako GPSA ili uweze kutoa huduma serikalini. Mimi ninafanya biashara hiyo kampuni yangu ni millennium cleaning services. Andaa business cards na vipeperushi sambaza maofisini mwanzo mgumu lakini ukijitangaza vizuri utapata tu wateja
 
HABARI ZENU WANA JF...mimi ni mhitimu wa chuo,nadhani kama mnavyofaham jinsi ajira ilivyo ngumu tanzania,so niliamua kufungua kampuni itakayo deal na tenda za usafi wa barabara pamoja mafisini,

naombeni msaada kwa yeyote ambaye ni mzoefu kupata hizi tenda

shukrani.
Inbox me email yako nikupe ushauri mwingine
 
Kama ni ushauri mzuri si uweke hapa kwa manufaa ya wengine. kwa hiyo kila atakaye taka ushauri wako akutumie email?
Basi yameisha ndugu yangu, nilikua napita tu.....haukujua kwanini nilikwambia nitumie email....nisamehe bure mkuu
 
Sajili kampuni yako GPSA ili uweze kutoa huduma serikalini. Mimi ninafanya biashara hiyo kampuni yangu ni millennium cleaning services. Andaa business cards na vipeperushi sambaza maofisini mwanzo mgumu lakini ukijitangaza vizuri utapata tu wateja
asante na mimi nataka ku
 
Habari wadau nimeanzisha kampuni ya Usafi hivyo mwanzo napata taabu kuitangaza naombeni ushauli Na mwenye kuelewa zaidi anisaidie
 
Back
Top Bottom