Kampuni ya tigo ni wezi sana...

Hakuna kitu, mbona ukichange line eg tigo ambao wana bundle ndogo kabisa zinakaaa mda mrefu sana jamaa! Hawa ni wezi kuliko
 
Pengine laini yako inatafutwa bila wewe kujua wanasubri tu! Ufike 18,kama nimwezi!!!!!! Mh kunakitu
Mkuu ukiwapigia simu huwezi kata tamaa maana hawakatai ila tatizo haliishi ni mwendo wa kukupa matumaini tu

Na huu ndo ukweli na ndicho kilichoniuma kushindwa kukamilika hata ya kwenda azamtv
 
HAPANA MSG ZAKO ZIGAKUPONYA NENDA MAKAO MAKUU ACHANA NA VIJIWAKALA VITAKUTENDA ..PALEMAKAOMAKUU NAKO WEKA SURA YA *""SITAKI UJINGA KUNA VIBINTI VIKIONASHIDAKAMA HIZI VINAJUA DILI *"" KOMAA WATAKUPA....

M BINAFSI MAJUZI NIMEPAMBANA NAOO NIKO NIMELALA USIKU NATUMIWA MSG NKAKAUSHA NIKASIKIA YAPILI NKSKAUSHA YATATU..MMH BADOKIDOGO WAHARIBU NDOA YANGU KWAKUWA N MT PDIDY WIFI YENU AKAMKA AKASOMA ASB ATI SINASALIO NIONGEZE KWAKUBONYEZA XYZ AMA NIKOPE..BAADAE IKAJA MSG NYINGINE NIMEKOPESWA 1000 JAMAN SIMU INA ALF TANO..SIJUI WAMEONA IMEISHA WAPI SALIO
 
Hamieni Halotel chuo kifurushi mondokane NA Shida za dunia
 
Hata Halloteli majizi,kila nikijiunga na kifurushi cha chuo MB 600 baada ya dakika 5 wanasema kimeisha wakati nimebrowse JF tu
kama ulikua unatania basi ujue ndo yananikuta mwenzako
sifanyi cha maana na mb zinakata
wizi mtupu
 
Haha umenivunja mbavu mkuu
 
Hata Halloteli majizi,kila nikijiunga na kifurushi cha chuo MB 600 baada ya dakika 5 wanasema kimeisha wakati nimebrowse JF tu
Haaaaa kumbe sio mm pekee, Wadau mi juz nmeunga MB 600 Nikachukua video moja yenye MB 180 na kusoma tuu email hata dakika haikuisha Eti kifurush kimeisha. Majiz ka nn dadek!!!.
HALLOTEL
 
Hakuna kitu, mbona ukichange line eg tigo ambao wana bundle ndogo kabisa zinakaaa mda mrefu sana jamaa! Hawa ni wezi kuliko
Inawezekana but kwangu nimefanikiwa kutatua tatizo baada ya kudissable hii kitu inaitwa svchost.exe
 
Wafungulie jarada mahakamani huku ukiwa na ushahidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, nasema si bure mana kimtokacho mtu ujue kipo ndani yake...

Mkuu Inaonekana mahakama zimekuenyesha sana...
 
Toa njia namna ya kuidissable.

1. Kuna njia ya kwanza unafungua Control panel> the click Administrative Tools > then click Services> then rightclick Background Intelligent Transfer Service (Utaona option mbalimbali, click STOP), unakuwa umemaliza.

2. Njia ya pili, kwenye start menu ya pc yako (kama unatumia pc) itafute Resource Monitor (sina hakika kama kwenye windows nyingine ipo maana mi natumia windows 10), then nenda kwenye menu ya Network na urightclick svchost.exe (netsvcs) then bonyeza End process kama nilivyokuwekea kwenye screenshot, unakuwa umemaliza.
 

Attachments

  • shot 1.jpg
    65.4 KB · Views: 31
  • shot2.jpg
    74.2 KB · Views: 37
Heko mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…