mimi issue kubwa ninayoijua sana ni research, kampuni nyingi zilizotumia hela kufanya tafiti na kugundua mambo mengi zimeenda na maji, hasa japan wameathirika sana. kampuni za kimarekani na china wao wanacopy na kupaste waka survive
huyu jamaa wetu apple hajawah ingia kabisa kwenye hio list. budget yake ya research haifiki hata asilimia 1 ya mapato.
samsung nae research zake zipo maeneo ambayo yupo vizuri kama kutengeneza memory na display japo mwaka huu ametusuprise na isocell pamoja na exynos ya 20nm.
ukiangalia hio list kuanzia nokia, sony, panasonic, volkswgn, ibm na kina honda wanagundua vitu then watu wanatumia bure wao wanataabika wenzao wanakua
Mkuu ukiangalia hapo samsung japo ametumia pesa kuliko wote kwenye research bado yuko vizuri kwenye mauzo na faida. Point yangu tangu mwanzo kuna factors nyingi sana za mtu kua na market share kubwa pia kupata faida...