kampuni ya simu ya TALKTEL imepotelea wapi jamani wadau? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kampuni ya simu ya TALKTEL imepotelea wapi jamani wadau?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ommy 2, May 25, 2010.

 1. o

  ommy 2 New Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kampuni ya simu ya mkononi TALKTEL iliyokuja kwa kishindo kabla haijapata leseni kamili imepotelea wapi jamani?
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  hii kampuni,ilipata watu wakataka kuwapatia pesa za mtaji,lakini wakaleta ubabaishaji.hivi nnavyoandika hipo ICU.so usitegemee one day there will be talktell.
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  si ndio HITS au...???
   
 4. o

  ommy 2 New Member

  #4
  May 25, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio HITS hiyo ilikuwa na ofc zake pale kwa manji Quality plaza,ilikuja kwa kishindo sana na tulipeleka Applications zetu sasa mpaka leo kimya tunasikia zingine tu,hata pale wamehama hatujui wako wapi kwa sasa
   
 5. o

  ommy 2 New Member

  #5
  May 25, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana chipukizi kwa kunifumbua macho maana nilisikia hiyo ni kampuni kutoka kwa Obama kumbe ndio walikuwa wanataka kuwaingiza watanzania mjini?nani hasa ni wamiliki wa hiyo kampuni?je ni wazalendo wenzetu au wageni?
   
Loading...