KERO Kampuni ya Sea Bus Express acheni utapeli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Amir sk

New Member
Joined
Jan 7, 2026
Posts
2
Reaction score
2
Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao wanawafaulishia Tabora na kupitia njia ya Chunya ambayo ni Barbara ya vumbi.

Nauli ya kutoka Mwanza hadi Mbeya kupitia Dodoma wanatoza 85000.Lakini wanakufaulisha njia ya Tabora Chunya ambayo nauli yake ni 60000. Kwa hiyo wanakuwa wamekutapeli 25000 na kukupitisha njia mbaya ya Chunya tofauti na mipango Yako.

Latra mkoa wa Tabora wamejulishwa kuhusu huu utapeli lakini hawana msaada wowote.

Boni, Brian (Bray)na mawakala wenu hapo Mwanza acheni utapeli.

Hela yangu 25,000 naitaka - 0687144258
 
Okay. Tumelipokea. Ngoja tukae Kikao tulipane posho kisha tulijadili
 
Pole mkuu ila watanzania mda mwingine huwa tuna matatizo ya kifikra.
Uko mwanza unaenda mbeya then unapanda bus ili ufaulishwe ukifika nzega , wakati huo kuna bus nyingi sana mwanza mbeya .
1. Ally's stars bus
2. Ijuka
3 chakaby
4 premier
5 isamilo
Etc
 
Unachukulia kiutani Mzee?
Pole mkuu ila watanzania mda mwingine huwa tuna matatizo ya kifikra.
Uko mwanza unaenda mbeya then unapanda bus ili ufaulishwe ukifika nzega , wakati huo kuna bus nyingi sana mwanza mbeya .
1. Ally's stars bus
2. Ijuka
3 chakaby
4 premier
5 isamilo
Etc
Unapofika ofisini kwao unaambiwa gari inaenda Mbeya.Ukiwa njiani ndipo unaambiwa stori za kufaulishwa.
 
Back
Top Bottom