Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,375
- 11,246
Salio hamna wametupigaa YASVipi Salio lako bado lipo ?
Alivyokata tu simu ikabidi nicheki salio fasta!!!Vipi Salio lako bado lipo ?
Sio waajiriwa wa Yas, ila kweli ni matapeli, na kwa maelezo yako tu ni kwamba kwa hatua ya kwanza tu, wamefanikiwa sana kukuaminisha kuwa ni waajiriwa wa Yas. Pengine itakuwa ni vigumu kukushauri katika hatua za mbele maana ni vigumu kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwaLeo nimepigiwa simu na tapeli aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka makao makuu ya kampuni ya mtandao wa YAS, baada ya salamu tapeli huyo ananitishia kuwa laini yangu ya simu itafungwa baada ya muda mfupi.
Nikamjibu fungeni tu wala hamna tatizo, nitasajili laini nyingine.
Alichonijibu tapeli sasa, nilishangaa sana. Tapeli akanijibu kuwa wanatoa na pesa zangu zote, tena akanitajia na salio langu lote kama lilivyo kwenye laini ya simu. Kabla sijamuuliza chochote akakata simu.
Nilichojiuliza, inawezekanaje huyu tapeli kujua kiasi cha fedha kilichopo kwenye simu yangu bila kumtajia!?
Ina maana taarifa zetu hazipo salama, wafanya kazi waliopo kwenye makampuni ya mitandao ya simu wanauza taarifa zetu kwa matapeli!?
Au sio!?Sio waajiriwa wa Yas, ila kweli ni matapeli, na kwa maelezo yako tu ni kwamba kwa hatua ya kwanza tu, wamefanikiwa sana kukuaminisha kuwa ni waajiriwa wa Yas. Pengine itakuwa ni vigumu kukushauri katika hatua za mbele maana ni vigumu kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa
Ametaja salio langu na chenji chenji zake!Mara nyingi salio huwa wanaziona sijui hata inakuwaje. Kwa mfano kwenye simu kama una laki, tapeli anaweza akakutumia SMS kwamba umepokea laki Moja na sasa salio lako ni laki mbili, na ukiangalia ni kweli 😂.
Sijui huwa wanaonaje Salio zetu
Hawa kuna namna wanajuana na wafanyakazi wa mtandao, ama ndio hao hao wafanyakazi wao.Ametaja salio langu na chenji chenji zake!
Huku ni zaidi ya kuotea.
Zikabaki salama hakupita nazo ?Alivyokata tu simu ikabidi nicheki salio fasta!!!
Hii nchi hii!
Ni michezo tu,nilifanya hii michezo mwaka 2015 .. ila nilipokamatwa pale stendi Mtwara mjini ndio ukawa mwisho.Hawa kuna namna wanajuana na wafanyakazi wa mtandao, ama ndio hao hao wafanyakazi wao.
Zinatakiwa zisibaki salama mkongwe!?Zikabaki salama hakupita nazo ?
Duuh!Ni michezo tu,nilifanya hii michezo mwaka 2015 .. ila nilipokamatwa pale stendi Mtwara mjini ndio ukawa mwisho.
Kikubwa kila jambo lina sababu,ila mzizi mkuu ni Ofisi ya IT wa mtandao husika.
Hao huduma kwa wateja mna wasingizia tu,maana hawawezi ku access ac ya mtu mpk pale utakapopiga simu kuwasiliana nao.
Hebu eleza mkuu hicho kisa chako 😂Ni michezo tu,nilifanya hii michezo mwaka 2015 .. ila nilipokamatwa pale stendi Mtwara mjini ndio ukawa mwisho.
Kikubwa kila jambo lina sababu,ila mzizi mkuu ni Ofisi ya IT wa mtandao husika.
Hao huduma kwa wateja mna wasingizia tu,maana hawawezi ku access ac ya mtu mpk pale utakapopiga simu kuwasiliana nao.