Kampuni ya Mkapa under Voluntary Winding Up!!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Nimeona kitangazo kidogo sana kwenye gazeti la leo la daily nyuzi.
Jina la kampuni ni ANBEM Limited company, na shareholders wake ni Benjamini william Mkapa na mama Anna Mkapa.

Katika searching kwenye website ya Brela inaonesha kampuni ilikuwa incorporated mwaka 1999 kwa Registration number 36547, Kipindi hicho jamaa alikuwa bado ni Rais.

36547ANBEM LIMITED22/06/1999

Kuna yeyote mwenye kufahamu hii kampuni ilikuwa inajishughulisha na nini?? je, sheria zinasemaje, hakukuwa na conflict of interest kipindi hicho?
 
Nimeona kitangazo kidogo sana kwenye gazeti la leo la daily nyuzi.
Jina la kampuni ni ANBEM Limited company, na shareholders wake ni Benjamini william Mkapa na mama Anna Mkapa.

Haikuwahi kufanya biashara yoyote ya maana, ilifunguliwa kwa lengo la kusimamia biashara ya familia baada ya Ben kustaafu lakini wajanja wakaitumia kutaka kumiliki mgodi wa Kiwira na dili likaharibika. Naambiwa baada ya kasheshe la Kiwira, Mkapa hakutaka tena kuambiwa habari ya kampuni hiyo.
 
Nimeona kitangazo kidogo sana kwenye gazeti la leo la daily nyuzi.
Jina la kampuni ni ANBEM Limited company, na shareholders wake ni Benjamini william Mkapa na mama Anna Mkapa.

Katika searching kwenye website ya Brela inaonesha kampuni ilikuwa incorporated mwaka 1999 kwa Registration number 36547, Kipindi hicho jamaa alikuwa bado ni Rais.

36547ANBEM LIMITED22/06/1999

Kuna yeyote mwenye kufahamu hii kampuni ilikuwa inajishughulisha na nini??

Rich Dad I salute you. Kwa kweli ni katangazo kadogo sana na siyo rahisi kukashtukia. Hii ilikuwa ni kampuni ya kimkakati ya wakazi waliopita wa Ikulu ya Jamhuri ya Muungano ambayo iliyofunguliwa mahsusi kwa ajili ya kufanya ujasiriamali wa mali za umma. Kwa sasa haina tena biashara kwani wamiliki wake siyo wakazi wa ikulu tena.
 
Nimeona kitangazo kidogo sana kwenye gazeti la leo la daily nyuzi.
Jina la kampuni ni ANBEM Limited company, na shareholders wake ni Benjamini william Mkapa na mama Anna Mkapa.

Katika searching kwenye website ya Brela inaonesha kampuni ilikuwa incorporated mwaka 1999 kwa Registration number 36547, Kipindi hicho jamaa alikuwa bado ni Rais.

36547ANBEM LIMITED22/06/1999

Kuna yeyote mwenye kufahamu hii kampuni ilikuwa inajishughulisha na nini?? je, sheria zinasemaje, hakukuwa na conflict of interest kipindi hicho?

Kwa faida yako na wananchi wengine, soma habari hii iliyotolewa na gazeti la THISDAY tangu mwaka 2007!

ANBEM Limited: Operated from the first lady`s office

June 2007
THISDAY REPORTERS
Dar es Salaam

FORMER president Benjamin Mkapa and first lady Anna Mkapa operated their private business company, ANBEM Limited, from a registered office within the official State House walls in Dar es Salaam, THISDAY can now reveal.

According to our investigations, documents setting up ANBEM Limited in 1999 listed its physical address as Plot Number 15, Luthuli Road � which is a government building forming part of the Ikulu estate.

It is also the building allocated for use as the official office of all sitting first ladies.

Further investigations have shown that 15 Luthuli Road was also the registered physical address of the Equal Opportunities for All Trust Fund (EOTF), a non-profitable organization established by Mrs Mkapa in June 1997.

EOTF's stated objectives include: ''To initiate, design, promote, facilitate and support the empowerment of the disadvantaged segments of Tanzanian society.''

But it has now been confirmed that even as EOTF steadily built a name in this area of activity over the years, ANBEM Limited was also operating from the same State House building maintained by taxpayers' money.

Mr and Mrs Mkapa, whose two tenures at State House covered the period 1995-2005, registered ANBEM Limited in 1999, with the official registration documents describing them as 'entrepreneurs' and sole shareholders/directors of the limited liability company.

Stated objectives of ANBEM Ltd include: ''To carry on business and to act as merchants, general traders, warehouse, stockists, shopkeepers and operators of supermarkets, commission agents and carriers.''

Official records also show that the company listed the Ikulu building as its registered office in annual returns signed by both directors (Benjamin William Mkapa and Anna Mkapa) between 1999 and 2005.

In 2002, ANBEM Limited was granted hefty loans of $500,000 (approx. 620m/-) and 250m/- from the National Bank of Commerce Limited and CRDB Bank respectively. Both loans have since been cleared.

It was at the end of Mr and Mrs Mkapa's second and final term in office in 2005, that both the ANBEM Limited and EOTF offices were relocated away from Ikulu.

The 15 Luthuli Street building, situated right inside the State House boundary walls, is currently being used by Wanawake na Maendeleo Foundation (WAMA), another NGO established and run by the sitting first lady Ms Salma Kikwete.

Since THISDAY started running exclusive reports on ANBEM Limited and related business dealings, a growing national debate has ensued over the ethical considerations of Mr and Mrs Mkapa�s actions while still at State House.

While one school of thought argues that the couple did not break any law in registering their own private company while at Ikulu, another contends that the move - being mainly geared at ensuring personal gain - could well be interpreted as an abuse of office.

Issues of possible conflict of interest and undue influence, on the part of a sitting president endeavouring to balance official responsibilities and private business affairs, have inevitably been brought up.

Speaking to local media editors last week, incumbent President Kikwete said his administration was prepared to let go the matter of Mr and Mrs Mkapa starting and operating a private business company from State House.

But he maintained that the government of the day would not hesitate to take action against proven allegations of serious wrongdoing in the matter.

President Kikwete also declared that he personally had no intention of engaging in private business dealings while occupying the highest office in the land
.

[/Qoute]
 
Kwa faida yako na wananchi wengine, soma habari hii iliyotolewa na gazeti la THISDAY tangu mwaka 2007!

Stated objectives of ANBEM Ltd include: ''To carry on business and to act as merchants, general traders, warehouse, stockists, shopkeepers and operators of supermarkets, commission agents and carriers.''

Official records also show that the company listed the Ikulu building as its registered office in annual returns signed by both directors (Benjamin William Mkapa and Anna Mkapa) between 1999 and 2005
.

In 2002, ANBEM Limited was granted hefty loans of $500,000 (approx. 620m/-) and 250m/- from the National Bank of Commerce Limited and CRDB Bank respectively. Both loans have since been cleared.

It was at the end of Mr and Mrs Mkapa's second and final term in office in 2005, that both the ANBEM Limited and EOTF offices were relocated away from Ikulu.

Asante mkuu nimeipitia yote, lakini hapo nilipo highlight bado pana nitatiza kujua ni aina gani ya business waliyokuwa wanafanya hadi wakaweza kurejesha mikopo yote on time. for sure that one was the most profitable business.
 
Wameona mambo yameanza kuchacha wanaamua kuanza kuvunja vikampuni vyao. Kumbukumbu hazifutiki, hata baada ya miaka 20 tutawapeleka mahali fulani wakajibu abuse of our highest office and power; na hiyo BankM?. Kunusurika kwao ni kufa mapema tu, vinginevyo.....
Si mmesikia hata kule Misri, Yemen nk wameanza kutangaz kuwa mwanangu hatagombea au urais sitamwachia mtot wangu nk. Huko ni kuweweseka tu. Hata hao ANBEN wanaweweseka tu - hizo ni rasha rasha tu za masika bado!
 
Mojawapo ya matatizo ya watanzania ni kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu; kwa mfanio kwa hili suala la ANBEN, hii haikuwa kampuni mchezo, wewe fikiria kuna wakati ilikopa dola za marekani 500,000 kutoka NBC, na kuzirejesha katika kipindi cha miezi sita tu. Kwa kigezo hicho tu, ni dhahiri biashara iliyokuwa ikifanywa na kampuni hiyo haiwezi kuwa ndogo. Pengine kwasasa suala la kujiuliza ni je, hiyo biashara iliyokuwa inaiingizia kampuni hiyo mamilioni ya fedha, ilikuwa biashara ya aina gani? Na je ni wakina nani walikuwa wanasimamia biashara hiyo kwa niaba ya wenye mali? na mwisho ni nini kimeisibu kampuni hiyo mpaka kufikia hatua ya kuvunjika kwa hiari?
 
Rich Dad I salute you. Kwa kweli ni katangazo kadogo sana na siyo rahisi kukashtukia. Hii ilikuwa ni kampuni ya kimkakati ya wakazi waliopita wa Ikulu ya Jamhuri ya Muungano ambayo iliyofunguliwa mahsusi kwa ajili ya kufanya ujasiriamali wa mali za umma. Kwa sasa haina tena biashara kwani wamiliki wake siyo wakazi wa ikulu tena.

Mama Salma Kikwete nae ana kakampuni kake kanaitwa WAMA anakokatumia kukusanya fedha toka kwa wafadhili waarabu; pengine WAMA nayo itafungwa jamaa wakiondoka Magogoni!
 
Mkapa bana namkubali .hivi kwenye orodha ya mafisadi ya mkuru slaa yumo ama mkuru alimsahau si unajua tena mkuru slah is very busy man.
What about sumaye him also yupo kwenye orodha ama?
Orodha ilitoka miezi michache baada ya jk kushika madaraka kabla ya dowans which means ilibase kwenye ufisadi while mkpa was prez.
WOW..!!bgup mkapa for covering up ur track,we need smart entreprenur like u and RA.
The way u bough kiwira for peanut money YOU ARE GREAT MAn
 
Siku ya siku ifikifika hawa ndio watakuwa na wakati mgumu maana shimo walilojichimbia ni kubwa la kuwatumbukiza wote baba mama watoto wakwe wajomba shangazi mama wa kufikia nyumba ndogo n.k n.k. yetu macho yanayotokea Misri sio mchezo ati
 
Mkapa and wife now wind up controversial company Sunday, 06 February 2011 09:36 digg

mkapatoda%20y.jpg

Former President Benjamin Mkapa

Bernard James
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Former President Benjamin Mkapa and his wife, Anna, have wound up their controversial company, ANBEM Limited. The couple announced the voluntary liquidation of the company through a notice published in the newspapers on Friday. However, the notice did not give the reasons for dissolving the company linked to the controversial acquisition of the state-owned Kiwira coal mine.
"Notice is hereby given that following the Members' Extra Ordinary Meeting held on 30th October 2010, it was resolved that the Company ANBEM LIMITED be, and is hereby wound up voluntarily," says the notice.
Under the Companies Act, a firm may voluntarily wind up if it is unable to carry on with its business or if it was formed to conduct business for a specific period. A company that is unable to meet its financial obligations can also file for voluntary liquidation.

The establishment of ANBEM Limited in 1999 raised eyebrows with some observers criticising the former Head of State and First Lady for engaging in business while still at State House.The company was registered with the Business Registration and Licensing Agency (Brela) with Mr and Mrs Mkapa as its only directors and shareholders.

The company first came into the national spotlight in 2007 when the accusations of abuse of office were levelled against the retired President, who was linked to the privatisation in 2005 of the then state-owned Kiwira coal mine.The mine was later sold to Tanpower Resources Limited, a private company co-owned by Mr Mkapa and former Energy and Minerals minister Daniel Yona, among others.

In late 2004, ANBEM entered into partnership with another private company, Devconsult Limited, which was owned by Mr Yona and his son, to establish Tanpower Resources Limited.Just six months after its formation, Tanpower took over the Kiwira coal mine after the fast-tracked privatisation that sparked a public outcry when it emerged that the mine was sold for only Sh700 million, though its official valuation in 1991 indicated it was worth Sh7 billion.

However, in his first public statement on the issue, the former President told reporters last May that he had no links with the company that bought the mine.Speaking on the sidelines of the World Economic Forum (WEF) in Dar es Salaam, he insisted that he had no shares in Tanpower Resources Limited, and added curtly: "I have no shares in the Kiwira mine."Mr Mkapa has on several occasions accused the media of blowing the issue out of proportion to discredit him.

When ANBEM Limited was barely three years old, and with its sole shareholders still occupying State House, the company applied for and was granted a $500,000 loan (Sh650 million) by the National Bank of Commerce (NBC). The loan sparked off heated debate over political machinations in the privatisation of NBC.A few months after securing the NBC loan, ANBEM Limited got another Sh250 million from CRDB Bank. In the same year, Mr Mkapa announced a Cabinet reshuffle in which Mr Yona was handed the Energy and Minerals docket.

Observers say the ANBEM saga has damaged the legacy of Mr Mkapa, who was credited with transforming the economy and enhancing public accountability during his 1995-2005 tenure.An MP unhappy with the former President's business dealings said: "Public service is not an opportunity for self-benefit or empowerment of one's friends and supporters. It is supposed to protect interests of the public as a whole."

But other politicians have strongly defended the former President, terming the allegations of abuse of office "baseless".Debating the Prime Minister's Office's budget for the 2009/10 financial year, the then Kwela MP, Mr Chrisant Mzindakaya, dismissed allegations of abuse of office levelled against Mr Mkapa.

"Charges of abuse of office and dishonesty against former President Mkapa are false…complaints against him are driven by evil minds…the complaints are evil," he said.
"Honourable deputy speaker, is it true that former President Mkapa did not do anything that deserves praise during his presidency? I'm convinced that allegations against him are the work of evil minds," he said.
 
I would like to congratulate our oldman for the wisdom he is showing, that sometime is good to retreat, thing, repent and keep lower profile. It is sometimes the issue of conscience and faith, it is somethink to do with the dynamism of politics in the country, not only this but also something to do with maturity. It is One thing to have just sufficient and it is anotherthing to have more than sufficient.

Let peace love and joy come to him.

Now where is the owner of Dowans, do you see the way, go and take your file from the court please.
 
Hope BM is the one who watered the tree for ufisadi and ate some of its fruits, wish the chinese rule would have been the same for Tanzania it would have been a story now coz he is one of the leaders to be hanged atleast for the work he has done a life in prison... JK is just enjoying the fruits pretending he doesnt know the people who planted the tree, Shame upon his whole.....
 
Back
Top Bottom