Kampuni ya Microsoft matatani

Kampuni ya Microsoft matatani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
Kampuni ya Microsoft imetozwa faini ya dola milioni 731 kwa kukosa kuwapa watumiaji wa programu ya Windows
uwezo wa kuchagua mfumo wa kutumia Internet badala ya kutumia mfumo wake wa Internet Explorer moja kwa moja. Kamishna wa ushindani wa kibiashara barani Ulaya alisema kuwa alitaka kuzuia makampuni mengine kukosa kutiza ahadi zao. Kuangalia Video bonyeza hapa http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2013/03/130308_teknolojia_uchaguzi.shtml
 
Back
Top Bottom