Kampuni ya kutunganisha na ebay jamani iko wapi

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
wadau kunatangazo ambalo lina helezea kua kunakampuni unaweza kujiunga nayo weweze kukuwezesha kununua vitu ebay
 
Hahahaaa, kazi kwelikweli! Akuunganishe vipi sasa, JF uliunganishwa na kampuni?!!!! Au ukitaka kununua shati mnadani unaunganishwa na kampuni?!!!...nenda kwenye bank yako ukaunganishe card yako ya VISA au MasterCard waiwezeshe manunuzi ya mtandaoni kisha kajisajili paypal uanze kununua vitu mara moja.
 

asant sana mkuu juma 3 kesho nikiamka salama ntafanya ivyo
 
Mkuu naona bdo huahamu kitu kuhusu Ebay,nenda kwenye bank yako waambie unahitaji kuwa na service ya paypal kwa ajili ya kununua vitu ebay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…