kampuni ya kukopesha photocopy mashine

sakapesa

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
100
Reaction score
54
habari wandugu nilisikia kuna kampuni ya Wakorea fulani hivi wanakopesha mashine za kutolea photocopy lakin sijajua vizuri wako wapi naomba anayejua anisaidie au kama kuna kampuni inafanya hyo huduma aniambie nami nijikwamue kimaisha

natanguliza shukrani
 
Kumbe!, ukipata majibu niTag mkuu hakika unataka kusaka pesa kama jina lako.
 
Ulisikia kwa nani mkuu...nafikir ungeanza kumuuliza huyo uliyesikia kwake ingependeza zaidi
 
Uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…