Kampuni ya kuchimba mafuta inauza 'shares' haya shime wabongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya kuchimba mafuta inauza 'shares' haya shime wabongo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Shadow, Apr 7, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wadau, wenye fedha mwaweza kununua hisa kwa hii kampuni ya kuchimba mafuta Tanzania. Kumbe kuna dalili njema za kuweza kuanza kuvuna mafuta?

  Registered and Principal Office​
  Level 7 , 283 George Street,
  Sydney, NSW, 2000, Australia,
  Telephone: +612 9299 2007
  Facsimile: +612 9299 7300
  Email: geo@bountyoil.com
  Website: Oil and Gas Exploration Australia - Bounty Oil & Gas NL

  Auditors​
  DFK-Richard Hill Pty Ltd
  Chartered Accountants
  Level 11
  32 Martin Place,
  Sydney, NSW, 2000

  Share Registry​
  Security Transfer Registrars Pty Ltd
  770 Canning Highway
  Applecross WA 6153
  Telephone: +618 9315 2333
  Facsimile: +618 9315 2233
  Email: registry@securitytransfer.com.au

  Bankers​
  Bankwest, Sydney
  Investec Bank (Australia) Ltd, Sydney

  Independent Consulting Petroleum Engineers​
  MBA Petroleum Consultants
  27 Douglas Street,
  PO Box 2098, Milton 4064
  Apex Energy Consultants Inc,
  700, 815 8th Avenue S.W.
  Calgary, Alberta, T2P 3P2
  Canada​  ENQUIRIES​
  Any enquiries should be directed to:​
  The Company’s share registry:
  Security Transfer Registrars Pty Ltd
  PO Box 535
  Applecross, Western Australia 6953​
  Street Address:
  Alexandrea House, Suite 1
  770 Canning Highway
  Applecross, Western Australia 6153​
  Telephone (61- 9315 2333​
  Facsimile (61- 9315 2233
   
 2. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tuwe waangalifu sana na makampuni ya kitapeli, Baada ya Tanzania kuonekana kuna mafisadi wengi kama akina Chenge walioshindwa kutumia pesa za kifisadi na kwenda kuziweka visiwa vya nje zikiwa zimekaa bila matumizi, huu ndiyo mwanzo wa makampuni ya Kitapeli Kujitangaza kama yanafanya Exploration and Development ya Oil and Gas Tanzania wakati siyo kweli ili watu wanunue shares then , next step Economic Global Crisis.

  Hii Kampun i inayotajwa hapo haijawahi kufanya kazi yeyote ile ya exploration wala kuwa registered kweny orodha ya makampuni yanayofanya exploration Tanzania tangu nchi hii ipate uhuru na tangu TPDC ianzishwe!!. kwa undani zaidi ingia
  http://www.tpdc-tz.com/activity-FEBRUARY-2009.pdf au http://www.tpdc-tz.com/
  utapata majibu. Hiyo gas discovery anayosema ameshiriki ya Kiliwani North siyo kweli, hiyo imegunduliwa na Ndovu resources akishirikiana na Key Petroleum zote za Australia wakiwa na mshiriki wao TPDC mwaka jana 2008. hiyo kampuni ni Fake .For your information itakuwa haina tofauti na Richmonduli au Dowans.
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Lakini kwa watanzania tusivyo fikiri utakuta tayari hata mashirikka ya serikali yamenunua shares, jamani tuwe makini??

  Na mtu unayetoa post humu kama hii uwe umejiridhsha kwamba untoa kitu chenye maana, au na wewe ni akina richmonduli??
   
 4. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Hufikirii kuwa kampuni hiyo iliuziwa ugunduzi huo? hata hivyo kwa Tanzania hii ni bora kuwa na mashaka kwa kila kitu mpaka hapo utakapojitosheleza
   
Loading...