Kampuni ya Kiwi Shoe Polish Mjitafakari

😅😅😅😅


Una point, hata sisi wapaka mafuta huwa tuna toa review na feedback kwa watengenezaji kwenye website zao juu ya mambo mengine ikiwemo suala la packaging, kama ni lotion tuna prefer vichupa kama vi pump au vitube kuliko makopo ya wazi.
 
Ukate kucha sasa
Au unauza unga
 
U
Ubaguzi huo kwa tunaoishi tandale kwa mkunduge.
 
Sahihi.. 😂
Waongezee kakitu kidogo kwenye kopo lao , hata mimi hili tatizo limenitokea mara nyingi .
 
Mkuu huo ni mkono wako?
 
Kale kabrashi ka kwenye Kiwi ya maji ni changamoto sana. Lazima utatumia kitu mbadala tu ili kuimaliza yote
 
Hii ndio dawa yangu pendwa ya viatu na si hizi za majimaji.
 
Tuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂
Mkuu, kwani kuna kampuni ya dawa za viatu ambayo mikebe yake iko tofauti na KIWI? Au dawa za viatu ni KIWI kama ilivyo vituo vya mafuta ni Shell?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…