joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Macho yako yanashida gani?, soma post yangu #39.Hebu nionyeahe hizo projects za zaidi ya $1 B pesa ya ndani mlizokamilisha!!!
Macho yako yanashida gani?, soma post yangu #39.Hebu nionyeahe hizo projects za zaidi ya $1 B pesa ya ndani mlizokamilisha!!!
Macho yako yanashida gani?, soma post yangu #39.
Wewe acha upoyoyo wako hapa, onyesha ni mradi upi wenye thamani ya $1B Kenya mliojenga kwa pesa ya ndani?. Huu upumbavu wenu wa kusema mnakusanya pesa nyingi lakini hakuna kinachoonekana hizo pesa zinaenda wapi zaidi ya kugawana salaries na zingine kuishia katika mifuko ya Rotich, Waititu na MKE wake utaendelea kubaki ndani ya vichwa vyenu.
Tafadhali onyesha ni mradi gani mkubwa wa zaidi ya $1B ambao mumeutekekeza bila kuomba wachina.
1) SGR; Dar to Makutopira $3.1B
2)Rufiji hydroelectric dam $3B
3)8 New planes $1.2B
4)Longest bridge on Lake Victoria $$350M
Hii ni baadhi tu ya miradi inayotekelezwa kwa pesa ya ndani, Kenya haiwezi hata kukarabati reli ya zamani, imeomba mkopo, stupid kabisa ninyi.
Wewe onyesha mradi mmoja ambao serikali yenu inatekekeza kwa pesa zenu wenyewe thamani inayozidi mradi wowote kati ya hiyo niliyokuwekea.