Kampuni ya Kenya yapata deal kubwa sana Botswana nchi ya SADC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,652
48,417
Wakati wengi mnatuimbia humu kwamba mataifa ya SADC huwa hayataki chochote kuhusu Kenya maana kiherehere hakikututuma tukajihusishe kwenye ugomvi wao, ukweli ni kwamba Wakenya tunakubalika sana kwenye mataifa yote haya kwa uchapa kazi wetu.
Wana biashara huwa hawaendeshwi na pumba za undugu, wao huangalia ufanisi wa mtu binafsi, hivyo Wakenya tunaendelea kuzagaa kote kote, makampuni yetu yanatiririka kwenye kila nchi na kuweka alama.
---------------------

Kenya’s co-operative software developer CoreTec Systems and Solutions is implementing a Sh620 million online portal for Botswana’s co-operative sector.
CoreTec chief executive Tobias Otieno said the wireless and cashless platform accessible via mobile phones and websites will be used by all co-operative societies in Botswana starting September 1.
“Bringing everyone onboard will enhance penetration of co-operative services as well as enable all societies to enjoy similar services on a much lower cost,” he said.
Talking in Nairobi on the importance of outsourcing cloud, cybersecurity and software services from one-stop shop online service providers, Mr Otieno said his firm had partnered with Africa’s converged communication and IT infrastructure provider IS to further enhance security and reliability of the platforms in Kenya and abroad.
“We have been conducting a pilot in Botswana and have trained platform teams for various saccos there to facilitate a smooth operation. In Kenya, we work with IS to secure our platforms from cybercriminals that have in the past breached some of the platforms,” he said.

$6m ni Dili kubwa Sana hadi unahusisha SADC?
Pesa ambayo DP ruto hutumia kwa Trip yake moja huko Cape town??
Lengo ni kutaka kujisafisha kutokana na dhambi ya usaliti waliyoifanya katika kipindi cha nyuma, kuonyesha kwamba SADC imewasamehe kwahiyo wanaweza kuomba kujiunga na SADC.
 
$6m ni Dili kubwa Sana hadi unahusisha SADC?
Pesa ambayo DP ruto hutumia kwa Trip yake moja huko Cape town??

Hehehe!! Mnapenda kujikweza sana muonekane kama mnajua mambo ya hela au kama wenye mnazo. Wacha nikuelimishe hii taarifa kwenye level ya Kitanzania
$6m ni sawa na Tshs 13.2b yaani kwa hizo hela madafu zenu

Sasa tuangalie hali iko vipi hapo Tanzania, hapa nimeangalia kwa haraka makusanyo ya halmashauri zenu kwa robo mwaka wa 2017/2018
Nataja halmashauri zinazofahamika sana, sihangaiki na zile maskini zaidi

Dodoma (mji mkuu wa Tanzania) - Sh14.4 bilioni
Ilala Sh11.2 bilioni
Kinondoni Sh7 bilioni
Temeke Sh6.5 bilioni
Arusha Sh4.1 bilion

Huko ni njaa tu, ndio sababu tulijaribu kujikomba kwa kurudisha dhahabu na pesa, wakati huohuo tukachomekea kuomba chakula na gesi.
naona adabu umeishika ipasavyo! nyanga'u hawana roho za kichawi za kukomalia mali za wenyewe wakizitia moto zingine. kamati ya roho chafu HQ pale chato wanamaumivu sana baada ya naibu waziri kuomba kuuza mahindi Kenya na kuahidi kuwa wanalumumba hawataweka vikwazo na visiki kuwahujumu wakulima wa tz.
 
Mbwa koko wa lumumba
 
Hahahaha, muhimu ni kwamba pamoja na kuwafanyia mambo ya hovyo, lakini hamna uwezo wa kulipiza kwasababu tukikasirika tutawanyima chakula.

Hivi kulikua na uhusiano gani wa msafara wa kurudisha dhahabu wawepo makatibu wakuu wa chakula na gesi?. Mlijua kwamba Magufuli atakua na furaha sana, kwahiyo mkiomba chakula huwezi kuwakatalia, " very smart move though". Mnajua mbinu nyingi za kuomba, jambo la kushangaza mbinu yenu ilishindwa kumshawishi mchina kuwapa pesa.
 
wewe kwa kawaida una ushabiki wa kijinga. Delegation ya Kenya ilikuwa ni wanasheria na Waziri wa mambo ya nje lakini kwa upande wa tz, Waziri wote wa serekali walihudhuria ili kuzinyakua fursa za biashara. Hivi haujiulizi waziri wa kilimo alikuwa anafanya nini pale? au pia anahusika na madini?
 
Which money are you talking about cause I don't remember China denying Kenya any loan.
 
Huko ni njaa tu, ndio sababu tulijaribu kujikomba kwa kurudisha dhahabu na pesa, wakati huohuo tukachomekea kuomba chakula na gesi.
Hizo pesa na dhahabu zitawasaidia kuwalipa wakulima wa Koroshow na kununua betri za ATCL afu mafao was wazee.
 
wewe kwa kawaida una ushabiki wa kijinga. Delegation ya Kenya ilikuwa ni wanasheria na Waziri wa mambo ya nje lakini kwa upande wa tz, Waziri wote wa serekali walihudhuria ili kuzinyakua fursa za biashara. Hivi haujiulizi waziri wa kilimo alikuwa anafanya nini pale? au pia anahusika na madini?
Kwasababu aliambiwa kwamba katika ugeni unaokuja kuna viongozi toka wizara ya KILIMO na chakula, na wizara ya mafuta na gesi wa Kenya, lazima mgeni mwenyeji ajiandae kulingana na ugeni unaokuja. Hivi kulikua na sababu gani ya katibu mkuu wa wizara ya KILIMO na wizara ya mafuta na gesi kusindikiza dhahabu na pesa kama sio kuja kuomba chakula na gesi?, hahahaha, hahahaha.
 
wewe uko usingizini bado! delegation ya Kenya haikuwa ba mtu yeyote kutoka wizara ya kilimo au nishati.
 
Back
Top Bottom