Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
hahahahahahatukilipwa ile hela yetu tuinunue tu hii Fastjet sasa..
hahahahahaha
In fact Fastjet base yao ni Dar. Mkiinunua itakua poa piatukilipwa ile hela yetu tuinunue tu hii Fastjet sasa..
Waliniboa sana hawa jamaa walivyofuta zile rioute za kwenda kwa M7 na kwa ZumaIn fact Fastjet base yao ni Dar. Mkiinunua itakua poa pia
Hata kupunguza route za Mwanza-Dar iliboa sana watu, kwa sababu wengi walikua washa book tiketi kbsWaliniboa sana hawa jamaa walivyofuta zile rioute za kwenda kwa M7 na kwa Zuma
Figisu za mkulu hizoo kawapandishia kodi ili ATC ipige bao.Hakuna mtu anayependa kuendesha biashara kwa hasara.Hata kupunguza route za Mwanza-Dar iliboa sana watu, kwa sababu wengi walikua washa book tiketi kbs
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda South na Uganda vinahusiana nini na bei, hebu nifafanulie kidogoFigisu za mkulu hizoo kawapandishia kodi ili ATC ipige bao.Hakuna mtu anayependa kuendesha biashara kwa hasara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siongelei bei ya naule or otherwise naongelea tozo ya kodi waliyokuwa wanatozwa pindi wanaanza operation na sasa hivi inautofauti mkubwa na pia inaonekana kama shirika linajiendesha kihasara kwa hizo destination kutokana na namba ya abiria kupungua day by day.Kwenda South na Uganda vinahusiana nini na bei, hebu nifafanulie kidogo
Chadema na mbowe inabidi wajifunze somo hapa wenzao wanauza shirika la ndege wao wanauza chamaIn fact Fastjet base yao ni Dar. Mkiinunua itakua poa pia
Ujinga wako, kwani inchi ikiwa tajiri ndo hairipi kodi da hakuna mwenye akili ndogo kama wewe maana hata kanuni ya uchumi huijuibrother unacheka wakati mda si mrefu BOT na HAZINA mambo yatakuwa oyaoya na watanzania kuna uwezekano tusilipe kodi kwa miaka zaidi ya 10..
Ujinga wako, kwani inchi ikiwa tajiri ndo hairipi kodi da hakuna mwenye akili ndogo kama wewe maana hata kanuni ya uchumi huijui
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Saa zingine ni bora kukaa kimya kama huelewi kitu.Siongelei bei ya naule or otherwise naongelea tozo ya kodi waliyokuwa wanatozwa pindi wanaanza operation na sasa hivi inautofauti mkubwa na pia inaonekana kama shirika linajiendesha kihasara kwa hizo destination kutokana na namba ya abiria kupungua day by day.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijakurupuka kutoka usingizini nikaanza kuandika nilichokiandika nafahamu na ninakielewa fika nilichokiandika, siwezi kubishana na wewe siyo hulka yangu wewe baki na unachokiamini nami nibaki na ninachokifahamu, tuko pamoja.Saa zingine ni bora kukaa kimya kama huelewi kitu.
Unataka kuniambia ni Fastjet tu ndio inatozwa kodi kubwa?
All in All mimi nadhani Marketing Team yao ndio mbovu, walikuwa na advantage kubwa sana kupata wateja wengi kwenye nchi hizo nilizo zitaja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja waje na povu! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Chadema na mbowe inabidi wajifunze somo hapa wenzao wanauza shirika la ndege wao wanauza chama