G Gwaks makono Senior Member Joined Aug 27, 2011 Posts 109 Reaction score 16 Sep 8, 2011 #1 Baada ya chibuku kulipa kodi kubwa kuliko migodi yote minne inayomilikiwa na barrick,sasa barick yaamua kutoa msaada wa bilion 16 za uwekezaji vijijini!
Baada ya chibuku kulipa kodi kubwa kuliko migodi yote minne inayomilikiwa na barrick,sasa barick yaamua kutoa msaada wa bilion 16 za uwekezaji vijijini!
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Sep 8, 2011 #2 Watazipeleka kwenye jimbo la Zitto ili waendelee kumnyamazisha
Tidito L Member Joined Jan 23, 2011 Posts 97 Reaction score 16 Sep 8, 2011 #3 Mwita25 said: Watazipeleka kwenye jimbo la Zitto ili waendelee kumnyamazisha Click to expand... <br /> <br /> nani kakwambia,hz zinaishia mifukoni mwa magamba kujenga nyumba masaki na nyingine kununulia mav8 ya watu.
Mwita25 said: Watazipeleka kwenye jimbo la Zitto ili waendelee kumnyamazisha Click to expand... <br /> <br /> nani kakwambia,hz zinaishia mifukoni mwa magamba kujenga nyumba masaki na nyingine kununulia mav8 ya watu.