Kampuni ya Apple imetoa iWatch

Kampuni ya Apple imetoa iWatch

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
348
Reaction score
79
Ni simu ambayo imetengenezwa kimuundo wa saa.
 
Attachments

  • 1389851583235.jpg
    1389851583235.jpg
    39.7 KB · Views: 440
its just a concept tu wadau bado haijatoka hiyo saa ndio maana samsung na viherehere vyao wakaidaka hiyo concept haraka na kukimbilia kuitoa mapema pasina kufanya utafiti wa soko kwa kina na sasa hizo SAMSUNG GALAXY GEAR (saa) haziuziki na hazina ubora kama unavyotangazwa.
 
Ndo yale yale kuwa samsung s4 itakuwa ni bending phone, ilipotoka ikawa sio... Kwa hiyo tuwe makini na source. Pia tufahamu maana ya concepts..
 
huyu ndo kiboko yao kakampuni kadogo ila kanawafunika watu wazima. hii ni saa ya pebble ipo compatible kwenye ios, android na wp(tweak).

PebbleStyleSA06_-_TitaniumMatt_620x479.png
 
Mkumbuke na kujenga nyumba ,tujadili na mabati badala ya sijui smart nini ,wengine kila simu ikitoka wanayo,huku kumbe ni akina KK hata shuka hawana.
 
chief-mkwawa, i wish the original pebble was metal but they finally introduced pebble metal.
As a pebble owner and user I can only sing praises of the watch, definitely not the prettiest one or the fully featured one but it just does what it can do best unlike <ahem> galaxy what?! 😀
 
Last edited by a moderator:
Mkumbuke na kujenga nyumba ,tujadili na mabati badala ya sijui smart nini ,wengine kila simu ikitoka wanayo,huku kumbe ni akina KK hata shuka hawana.

.
I'd show you my thumb up sign
.
As the only way to congradulate you from the button of ma heart....
Important view in the poor thread
.
.
 
Back
Top Bottom