Kampuni ya ajabu katika ujenzi

Senkyu vere machi.
Bado niko kwenye mchakato wa kusaka kiwanja.
Muda ukifika nitawatafuteni.
 
MCHUBANGA CIVIL AND BUILDING....what?company?enterprises?engineers...title yenyewe incomplete...bogus oufit
 
Acheni fujo wakuu, mmpewa angalizo kuwa hio kampuni ni ya Ajabu !!! haina documentary yeyote !!!!! labda uki search through Maombi !!
 
Hii itakuwa kampuni ya Mfukoni, Kwa maana hata Class ya Registration, Category, Ofisi Contacts havijaonyeshwa. Acheni utapeli.
 
nikienda kufanya search crb nitaikuta kweli hii kampuni?.
hakuna shaka mkuu ukipenda mnaweza kwenda pamoja na mkurugenzi wake mpaka crb, ni kampuni makini sana na ya kitanzania na mfano kwa wasomi wetu jinsi gani ya kujenga nchi yetu ili siku moja ujenzi wa nchi yetu uwe mikononi kwa watanzania na si kampuni za kigeni,


pamoja tutakuza uchumi wa nchi yetu
 
gharama za ujenzi zinarange kiasi gani kwa ntiumba standard ya vumba vitatu vya kulala sebule , dinning self contained isito na vikorombweza vingi? mi natarajia kuanza ujenzi december, labda wanaweza kunisaidia manake muda wangu i tight sana
 
Tupe data imesajiliwa wapi na namba ya usajili.
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] MCHUBANGA ENTERPRISES Details[/FONT]​
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registration Number: C7/1688/12/2009-kwenye civil
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registration Number: B7/2533/12/2009-kwenye building
[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Telephone Number: 0732 997097/0713 195747[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Town/Village:DAR ES SALAAM[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Postal Address:P.O. BOX 71997[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Location:UKONGA MAGEREZA [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Email:mchubanga@gmail.com[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]ACTIVE MEMBER[/FONT]
areports.gif
 
Mkuu godwine:

Hii ni "extract" ya New JF 1st April 2010:


Nataka kutangaza JF lakini sijui nifanyeje:
  • Katika toleo la JF lijalo tumeonelea ni vema kuweka gharama za matangazo katika JF pamoja na aina za matangazo na sehemu za kutangaza ndani ya JF. Tutaweka wazi gharama bila kificho ili kila anayetaka kutangaza biashara yake kupitia kwetu aamue ni eneo gani angependa kutangaza na kivipi.
  • Tunawashukuru Zain kwa kuwa wadau wa kwanza kuchukua fursa ya kutangaza kwenye Front Page, tunaamini baada ya uzinduzi wengi wataelewa gharama zikoje na wapi pa kuwasiliana nasi ili kuweza kuweka matangazo hapa JF
  • JF yenyewe itaanza kujitangaza kuanzia Aprili 2010.
 
gharama za ujenzi zinarange kiasi gani kwa ntiumba standard ya vumba vitatu vya kulala sebule , dinning self contained isito na vikorombweza vingi? mi natarajia kuanza ujenzi december, labda wanaweza kunisaidia manake muda wangu i tight sana
mheshimiwa ukiwa tayari unaweza kuwasiliana na mkurugenzi , atatoa agizo kwa building economics afanye mahesabu ya gharama kulingana na material yatayotumika na size ya nyumba(BOQ) amboa utakupa gharama halisi ya ujenzi
tunaomba uwasiliane na anwani tuliyotoa ,atakuja mjadiliane au atakueleza jinsi ya kufika ofisini,
tunashukuru , tunakutakia mafanikio na uweze kujenga kwa kampuni ya kitanzania itayokuhakikishia ubora wa juu zaidi
 
Back
Top Bottom