🤣 🤣 🤣 🤣 I see. Ngoja nipite niwaoneUmeacha jambo la muhimu kuliko yoote,ni kwamba bei zao sio rafiki kwa wanunuzi wengi wa kitanzania
Biashara huwasaidia sana wale wanaojua hesabu; mfano, uwekewe tairi mpya zote 4 OG kutoka Japani halafu uongezewe dola 100; au uwekewe batrii mpya OG halafu uongezewe dola 35; na service nyingine; Nafikiri ni wale wanao chambua mambo watao nielewaUmeacha jambo la muhimu kuliko yoote, ni kwamba bei zao sio rafiki kwa wanunuzi wengi wa Kitanzania.
Huyo anaelia gari ya miaka 10+ iliopita kuwa mkweche ana matatizo. Tusijidanganye ukinunua USED car na kuiita mpya hakuifanyi mpya. Na kwasababu ni used tegemea lolote. Uzuri kampuni Nyingine zinaweka wazi, kama tairi kipara utaliona,kama kuna scratches wanakuonesha ni wewe tuBiashara huwasaidia sana wale wanaojua hesabu; mfano, uwekewe tairi mpya zote 4 OG kutoka Japani halafu uongezewe dola 100; au uwekewe batrii mpya OG halafu uongezewe dola 35; na service nyingine; nafikiri ni wale wanaochambua mambo watanielewa.
Mimi nimetoa mtazamo wangu ukikupendeza wajaribu
Lakini usisahau kuna vilio huko mtaani wa watu kununua mikweche kutoka japani kwa bei poa
Ttzo utamaduni wa idadi kubwa ya watanzania si wa huko kuchambua mamboBiashara huwasaidia sana wale wanaojua hesabu; mfano, uwekewe tairi mpya zote 4 OG kutoka Japani halafu uongezewe dola 100; au uwekewe batrii mpya OG halafu uongezewe dola 35; na service nyingine; nafikiri ni wale wanaochambua mambo watanielewa.
Mimi nimetoa mtazamo wangu ukikupendeza wajaribu
Lakini usisahau kuna vilio huko mtaani wa watu kununua mikweche kutoka japani kwa bei poa
Na sio kuifanyia yoote haya uliyoyaorodhesha gari itakuwa mpya,itabaki ni mtumba ambao unaweza kukusumbua tuuBiashara huwasaidia sana wale wanaojua hesabu; mfano, uwekewe tairi mpya zote 4 OG kutoka Japani halafu uongezewe dola 100; au uwekewe batrii mpya OG halafu uongezewe dola 35; na service nyingine; nafikiri ni wale wanaochambua mambo watanielewa.
Mimi nimetoa mtazamo wangu ikikupendeza wajaribu. mwandishi wa mashairi - Shaaban Robert alisema "rahisi ni Ghali"
Lakini usisahau kuwa kuna vilio huko mtaani kwa watu kununua mikweche kutoka japani kwa bei poa