Kampuni nyingi wanawaunderate salespersons

Kazi nyingine zipo hivi.

Mfano wewe ni sales man wa building materials , inawezekana usipate hela kupitia kuuza materials au katika core business (Biashara mama) Ila unaweza kutumia hiyo biashara kupata na tenda nyingine Kama za ujenzi na hapo ndo utapata pesa.

Mfano Issa Tambuu anauza Magari , inawezekana asipate faida kubwa katika kuuza Magari Ila kupitia kuuza Magari akajenga jina then baadae akaamua kujenga Nyumba na kuuza Kama anavyofanya .

The same to you , you can't make good profit to someone else's office Ila you can create good profit kupitia hicho unachofanya .

Au mfano diamond msanii inawezekana mziki ambayo ndo core business yake isimpatie pesa nyingi Ila kupitia , Endorsement Kama za Pepsi , Air tel, Castle lite , na Wasafibet, wasafisoap na wasafi media , yawezekana huko ndo akawa anapata Sana pesa

So you need to have Entrepreneur mindset.
Madini
 
Sawa mkuu tuchukulie unauza insurance kwa mwezi unaweza kuuza bima 10 unafanyaje hapa tuchukulie ni bima za medical
 
Mkuu ikiwa upo uko unatengeneza network na kukuza CV .baadae unaangalia green pastures so ichukulie hiyo job Kama humble beginning and stepping stone.

Be there for a while. Uku ukiangalia wapi unabidi ukaitumie potential yako.

Sio kila kitu kitakupa hela katika maisha unachofanya mambo mengine unafanya ili upate experience na kukuza network.
 
Back
Top Bottom