Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 163
- 313
Baadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine
Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka hamna hata kidogo ya usafiri unatumia gharama zako kuanzia kula,nauli na hata hela ya kuprintia fomu za mauzo, kodi.
Kibaya zaidi hamna mshahara zaidi ya commission tu ambayo unaingiziwa mwisho wa mwezi na hiyo hiyo commission ndo kodi inakatwa humo, ambapo kupata mpaka upate mteja kiasi kwamba means ya kusurvive inakua haipo
Mpaka mzazi anajiuliza kazi gani unafanya ilihali kila siku unamlilia shida
Ndugu waajiri mjitafakari ni kazi kufanya kazi ambayo hata hamna ya kuishi unakosa kabisa
ANYWAY NAOMBENI KAZI