kampuni mpya

canaan

Member
Joined
Mar 1, 2008
Messages
46
Points
95

canaan

Member
Joined Mar 1, 2008
46 95
Wadau nimeanzisha kampuni yangu mpya inashughulika na consolidation and deconsolidation(import and export), parcaging, warehousing, door to door delivery na other logistics zinazo husiana na import and export.

Mimi kama mwanzilishi nina plan yangu ya marketing, lakini nimeona nije kwenu wadau wangu mnipe ushauri wa utakaonisaidia kupata wateja, natanguliza shukrani zangu
 

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
7,194
Points
1,250

matumbo

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
7,194 1,250
Mkuu upo siriaz unaanzisha kampuni bila kujua wateja unawapata vipi??
Ulifanya feasbility study kabla ujaanzisha kampuni??
 

Forum statistics

Threads 1,389,575
Members 527,969
Posts 34,028,539
Top