Kampuni mpya ya adini, mbadala wa ACACIA

Esss

Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
21
Reaction score
16
Ndugu ukiona kiongozi msomi anakwambia hakuna jipya jaribu kufatilia kwanini anasema hayo?

Serekali italipwa zile 300M Dolla, ila kwa awamu,,, trust this, kampuni mpya itayokuja ku replace Acacia ndiyo italipa na italipa kwa awamu, sasa jiulize, Je Acacia wakibadili jina wakakubaliana na Barrick waendelee na uzalishaji kutakua na jipya?

Ni kona gani Acacia hawazijui? yote yalikuepo hapo jambo jipya ni aliekurupusha lianze upya
 
Hujaona jipya? Vyovyote itakavyokuwa, haitakuwa kama ilivyokuwa. Na hayo ndiyo mabadiliko yaliyokuwa yaatakiwa. Unaweza usiyaone kwa sasa kwa kuwa unafikiri kulikuwa na ukurupukaji!
 

Hivi hii kampuni Acacia ilianza shughuli zake hapa Tanzania mwaka gani ?
 
Hakuna upya wa kampuni hapo,
Kuna upya wa jina la kampuni,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…