To name just a few
Aqua Drill Tech Company
Victoria BoreHoles Drilling Company
Al-ttai Water Well Drilling Company
Maji-Tech Engineering Limited
Aqua Well Drilling Company
Water Wells Services Ltd(wapo maeneo ya kisutu)....just to top up mkuu
sasa mkuu unataka kila kitu utafuniwe! hangaika na wewe, yaani umetafutiwa mchumba then unataka hata kumnanii ufundishwe, we vp mkuu.
Wadau kuna yeyote ambaye amechimba kisima na hawa jamaa wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wa ubungo? Nasikia wapo shwari sana. Naomba atupe tathmini yake kama wanafaa (kwa kufanya survey na kisha kuchimba). Na kama wapo wengine basi chapisha majina yao bila kusita. Hivi diameter ya kisima kikubwa kabisa (kulingana na mabomba yaliyopo sokoni) ni ipi? Mfano kama nahitaji kisima kwa ajili ya biashara (kama nahitaji maji mengi sana) nahitaji kuchimba kisima cha diameter kiasi gani? Ni kweli kwamba diameter nayo itategemeana na uwingi wa maji eneo husika kama ilivyo kwa urefu wa kisima?

yahh! changamsha kichwa!!sasa mkuu unataka kila kitu utafuniwe! hangaika na wewe, yaani umetafutiwa mchumba then unataka hata kumnanii ufundishwe, we vp mkuu.
NENDA DAVIS AND SHIRTLIF WAPO KAMATA
ILA WACHIMBAJIO WENGINE WA VISIMA ni wanaume mida ya usiku kwa sana urefu inategemea na driller ya mwanaume muda mwingine mbali na mchaNA WANACHIMBA MADIMBWI YAANI SHOW FUPI