golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 433
Mchochezi Sana wewe
Kwani uwanja wa ndege wa chato alimshinda nani?Kwahiyo tenders zote za ujenzi anashinda Mayanga ?? Safi!
Ndo maana nikasemaga kuwa sitokuja poteza muda kupiga kura kabisaKwann unahisi kwamba tunafanywa malofa?
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
Ongeza urefu wa kamba yako
....Hivi juzi Sugu kule mjengoni kasema wakitoa hoja badala ya kujibiwa wanasubiriwa wakati wanaingia majumbani mwao halafu wanafanywa nini vile??Inaonekana kuwa na mkanganyiko (frustrations) kwenye mawazo yako kiasi kwamba unachanganya masomo. Na huyo Mayanga ndiye Nani, na ana kashfa gani? Ukitaka kusikika, ongea kwa takwimu na thibitisha ukisemacho. Acha kuwasilisha hisia zako badala ya core evidence.
....Hivi juzi Sugu kule mjengoni kasema wakitoa hoja badala ya kujibiwa wanasubiriwa wakati wanaingia majumbani mwao halafu wanafanywa nini vile??
Hao Ni Disco jocker, wape nafasi, Bungeni siko pahala Pao.....Hivi juzi Sugu kule mjengoni kasema wakitoa hoja badala ya kujibiwa wanasubiriwa wakati wanaingia majumbani mwao halafu wanafanywa nini vile??
....Dj yuko mjengoni mwaka wa 15 wewe uko wapi sijui?Hao Ni Disco jocker, wape nafasi, Bungeni siko pahala Pao.
Anayo kazi ya kuburudisha wabunge mjengoni. Nami nimo humu.....Dj yuko mjengoni mwaka wa 15 wewe uko wapi sijui?