Kampuni inayofanya "iso certification" inahitajika

Kampuni inayofanya "iso certification" inahitajika

Smartbeing

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
323
Reaction score
426
Kampuni yetu iliyopo Dar inahitaji kuwa ISO Certified, kama kuna mdau humu anafanya kazi ya kusaidia kuandaa document tuwasiliane ili apewe kazi. Naona makampuni mengi yanayofanya kazi hii ni kutoka nchi jirani sasa, hii tenda akipata mbongo itakuwa poa zaidi. Kama yupo mtu tuwasiliae pm
 
Back
Top Bottom