Kampuni inauzwa bei rahisi

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Jina ni Maranatha Perfect Cleaners
ilisajiriwa 17/07/2008 Number ya usajiri 181624
hii ni sole propriator

tayari imefanya kazi nyingi na makampuni mbali mbali za hapa Dsm hasa NGO . kampuni hii inadaiwa deni la jumla ya Tsh 400,000/= laki nne tu hizo ni brella na TRA.

na inauzwa kwa gharama ya Tsh 5,000,000/=

wapo wafanyakazi zaidi ya 20 ambao sasa wamechukua likizo ya bila malipo. mnunuzi hata lazimika kuchukua wafanyakazi wala vifaa vya ofisi.

kampuni hii inao uzoefu wa muda mrefu na inajulikana hivyo mnunuzi ndio ataiendeleza kuenda ngazi ya ltd kama ataona inafaa kufanya hivyo.

kwa anayehitaji tuwasiliane 0755 099 291 na 0657 145555 Akiri
 
wafanyakazi waliopo ni wasichana 15 na wavulana 5 offisi zipo Hananasif karibu na kanisa la roman au kanisa la pinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom