Gari inauzwa bei powaa

Gari inauzwa bei powaa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Toyota mark 2 baloon
4 sylinder, nyeupe , ya gia
ipo ktk khari nzuri sana bei 3.8m
0657 145555, 0755 099 291
 
Tangazo la bidhaa ni vizuri likiambatanishwa na picha.....weka picha ya hilo gari tulione tafadhali!
 
Toyota mark 2 baloon
4 sylinder, nyeupe , ya gia
ipo ktk khari nzuri sana bei 3.8m
0657 145555, 0755 099 291
Kuna watu hapa mjini wananunua tena Mark 11 baloon siku hizi? Labda ulipeleke Mererani kule bado kuna watu wanapenda hayo antiques .
 
Kuna watu hapa mjini wananunua tena Mark 11 baloon siku hizi? Labda ulipeleke Mererani kule bado kuna watu wanapenda hayo antiques .

Weeee.....Mererani tunatumia ma LX, TX na ma hzj79 macho panzi......tutake radhi tafadhali......
 
Weeee.....Mererani tunatumia ma LX, TX na ma hzj79 macho panzi......tutake radhi tafadhali......
Mara ya mwisho kufika huko mererani ilikuwa 2004/2005, kama sasa mnasukuma LX na TX basi mko Juu. Msalimie askofu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom