Kampuni huchukua muda gani kukupatia mkataba wa maandishi?

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
351
Wakuu, hivi ni muda gani kampuni huchukua kukupatia mkataba wa maandishi ili uupitie baada ya kukubaliana kwa maneno?
 
Kuna mkataba wa maandishi na kuna mkataba wa maneno. Yote ni mikataba. Ili mradi unapata mshahara kama makubaliano yalivyokuwa. Ukiona mtu anag'ang'ana na karatasi jua siyo mwaminifu. Hii naiongea kutoka upande wa waajiri
 
Na huo mkataba wamaneno unanguvu kisheria? ili uwe na nguvu kisheria vinahitajika vielelezo vipi.

jibu kwa vifungu/kifungu cha sheria.
 
Wakuu, hivi ni muda gani kampuni huchukua kukupatia mkataba wa maandishi ili uupitie baada ya kukubaliana kwa maneno?
Hakuna mkataba wa maneno kwenye ishu za ajira
1.Kuna mkataba wa kipindi cha uangalizi wa miezi mitatu (probatio) ni wa maandishi na unaweza kutolewa kwa mara zisizozidi mbili
2. Kuna mkataba wa ajira kamili huwa mara nyingi ni wa mwaka mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, hivi ni muda gani kampuni huchukua kukupatia mkataba wa maandishi ili uupitie baada ya kukubaliana kwa maneno?
Hakuna mkataba wa maneno kwenye ishu za ajira kisheria
1.Kuna mkataba wa kipindi cha uangalizi wa miezi mitatu (probatio) ni wa maandishi na unaweza kutolewa kwa mara zisizozidi mbili
2. Kuna mkataba wa ajira kamili huwa mara nyingi ni wa mwaka mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naona kama mnazunguka mbuyu..baada ya kufaulu usaili nikaitwa kwenye negotiation ya salary na vitu vingne, nikaambiwa nitataharifiwa kuchukua mkataba wa maandishi, ndo mauliza kwa mwenye kujua taratibu huwa inachukua max siku ngapi?
 
Dah. Mie niliambiwa ivo ivo ndio ikawa ntolee...
Endelea kuvuta subra. Huenda anaye saini yuko nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom