Kampuni gani unaikubali kwa kutoa movies kali kati ya hizi?

Wait a little bit..
 
Movies nyingi zenye bajeti kubwa duniani utakuta zimehusisha kampuni si chini ya tatu kutengeneza movie hiyo. Kila kampuni ina uwezo wake tofauti na mwingine. Mfano Marvel ni mmoja wa wakali katika CGI hivyo basi Kampuni yoyote inaweza kumu associate Marvel ili awasaidie kwenye upande wa CGI. Mfano muvi ya kihindi Krrish 3 au American X-Men. Humo ndani Marvel ni kama kashirikishwa tuu atie ufundi wake. Hivi inakuwa Main company mf. Franc The Great Films alafu In Association with Marvel Studios. Hapo muvi lazma iwe tamu.
 
Amesahau pia MGM. Kama ulitazamaga Tom & Jerry ulipokuwa kid uwezi isahau.
 
Sure ndio muvi kali za siku hizi zilivyo. Lazima kampuni zaid ya moja ihusike
 
Mkuu umeicheki na Bad Cat? Balaa sana nayo,itafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…