Kampuni gani nzuri kwa Telecom engineer

Stress za maisha wakuu tusameheane

next time nitakuja na bandiko linalojitosheleza nadhani itakuwa vizuri zaidi
 
mkuu kama umesoma telecom najua utakuwa uko vizur kwenye programming, engineering mathematics etc. nakushauri tafuta kazi za remote ufanye kama data analyst, automation engineer, data scientist etc, hata kama hauna huo ujuzi nakushaui utenge miezi kadhaa ya kujionoa na kung,arisha ujuzi wako you wont regret hiyo telecom n fan nzuri kwa sababu ina cover karibia kila kitu cha kidigitali so u can choose any field and become expert on that field. reomte IT support anakula kuanzia milioni 6 na kuendelea/month
 
Anakula wapi?
 
Mtaalam samahani ningependa maelezo yako zaidi maana sijawai ona hizo kazi za remote zikitangazwa mahala popote,

Nipo interested sana kutaka kufahamu hao data analyst, automation engineers etc wanafanya kazi kwenye kampuni kama hizi labda TIgo, voda n.k maana mimi ni fresher na kipindi niko field(practical training) sikuona hao watu kwenye hizo kampuni za telecom kwenye department yoyote
 
Naomba tu nikueleze wazi.
Kwa aina ya uandishi wako, niseme tu wewe ni changamoto. Maana naona hata aina ya uandishi wa kuomba kazi kwako ni kikwazo kabisa.
Ebu kwaleo naomba niishie hapa, maana unaweza usichelewe kuhisi kama nimekutukana.
Okay...nimekupata mtaalam
 
Mtaalam samahani ningependa maelezo yako zaidi maana sijawai ona hizo kazi za remote zikitangazwa mahala popote,

Nipo interested sana kutaka kufahamu hao data analyst, automation engineers etc wanafanya kazi kwenye kampuni kama hizi labda TIgo, voda n.k maana mimi ni fresher na kipindi niko field(practical training) sikuona hao watu kwenye hizo kampuni za telecom kwenye department yoyote
Kampuni za Tigo, Vodacom, Airtel huwa hawaajiri watu wa Telecom but Wana outsource kazi za Telecom kwa contractors Kama Huawei,Ericson,Nokia ambao nao wanafanya kazi chache tu then nyingine na wenyewe Wana outsource kwa kampuni zingine Kama Northern Engineering,Maktech,Pivotech ambako na kwenyewe kuingia hapo ni shughuli pevu inahitaji connection ya nguvu.
Kiufupi hiyo fani inahitajika uwe mjanja sana Kama dalali dalali ndio at least upate hela ya kula.
Pia very competent kwenye sub area moja na usiwe generic.
Naongea hivi kwa uzoefu wa kuwaona rafiki zangu waliosoma hiyo fani wanavyohangaika kwa miaka mingi.
 
Mtaalam samahani ningependa maelezo yako zaidi maana sijawai ona hizo kazi za remote zikitangazwa mahala popote,

Nipo interested sana kutaka kufahamu hao data analyst, automation engineers etc wanafanya kazi kwenye kampuni kama hizi labda TIgo, voda n.k maana mimi ni fresher na kipindi niko field(practical training) sikuona hao watu kwenye hizo kampuni za telecom kwenye department yoyote
achana na voda,tigo think off kufanya kazi na makampuni ya marekani ukiwa tanzania yaan remotely. what is needed is skills. mfano nakupa pa kuanzia gonga hii coz by the tme unamaliza utakuwa ushapata connection kibao https://www.coursera.org/professional-certificates/google-it-support
usisahau kusocialize coz ukisocialise ndo unapata madili
vile vile kama unataka gonga hiyo coz
https://wqu.org/
by the time unamaliza makampuni yatakuwa yanakufata yenyewe because the world is in shortage of data scientist.
 
Naombeni msaada wakuu
Maktech,IPO vizuri sana,wana contract nyingi sana za kazi za telecom kutoka Voda,airtel,tigo,kufunga radios,BTS,radio planning,kwa ujumla kazi zote zinazohusu mawasiliano,
Huko utapata uzoefu wa kutosha,na makampuni mengi kama voda,na unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuajiriwa na voda,
Wahandisi wengi wa Vodacom,wametoka Maktech.
Mwenye kampuni,aliwahi kuwa mfanyakazi wa Vodacom,miaka ya 2000,sasa hivi kampuni IPO EA nzima.
Ofisi zao zipo Africana,bagamoyo road.
Kama unatoka tegeta,ukishuka Africana,ofisi zipo nyuma ya kituo,utaina ghorofa kubwa,lenye maandishi Maktech.
Fika pale,pereka CV yako,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom