Nzuri kwa wewe kuwapa kazi, ama nzuri kwa wao kukupa kazi..??Naombeni msaada wakuu
Naomba tu nikueleze wazi.Wao kunipa kazi
Sorry wakuu natumia simu inasumbua touch ndo maana nashindwa kutiririka vizuri
Huyu atakua ni mtoto wa KIGOGO AWAMU YA 5 eti anachagua mahali pa kufanya kaziNaomba tu nikueleze wazi.
Kwa aina ya uandishi wako, niseme tu wewe ni changamoto. Maana naona hata aina ya uandishi wa kuomba kazi kwako ni kikwazo kabisa.
Ebu kwaleo naomba niishie hapa, maana unaweza usichelewe kuhisi kama nimekutukana.
Kiongozi umesoma engineering level gani?, maana tu kuandika hapa umeandika vitu ambavyo vinaacha maswali mengi katika andiko lako,hiyo report ya kazi utaiandikaje sasa?,vyuo vya sasa ni majanga,huyu naye ni graduate,acha tu wakenya wachukue kazi zetu kama wasomi wetu ndio wa aina hiiNaombeni msaada wakuu
Umesoma Telcom,je wewe unajua nini? au upo fit katika field gani? Be specific na si wale MIMI NAJUAJUA.Naombeni msaada wakuu
Amebugi sana aisee.Huyu atakua ni mtoto wa KIGOGO AWAMU YA 5 eti anachagua mahali pa kufanya kazi
Anakula wapi?mkuu kama umesoma telecom najua utakuwa uko vizur kwenye programming, engineering mathematics etc. nakushauri tafuta kazi za remote ufanye kama data analyst, automation engineer, data scientist etc, hata kama hauna huo ujuzi nakushaui utenge miezi kadhaa ya kujionoa na kung,arisha ujuzi wako you wont regret hiyo telecom n fan nzuri kwa sababu ina cover karibia kila kitu cha kidigitali so u can choose any field and become expert on that field. reomte IT support anakula kuanzia milioni 6 na kuendelea/month
Mtaalam samahani ningependa maelezo yako zaidi maana sijawai ona hizo kazi za remote zikitangazwa mahala popote,mkuu kama umesoma telecom najua utakuwa uko vizur kwenye programming, engineering mathematics etc. nakushauri tafuta kazi za remote ufanye kama data analyst, automation engineer, data scientist etc, hata kama hauna huo ujuzi nakushaui utenge miezi kadhaa ya kujionoa na kung,arisha ujuzi wako you wont regret hiyo telecom n fan nzuri kwa sababu ina cover karibia kila kitu cha kidigitali so u can choose any field and become expert on that field. reomte IT support anakula kuanzia milioni 6 na kuendelea/month
Okay...nimekupata mtaalamNaomba tu nikueleze wazi.
Kwa aina ya uandishi wako, niseme tu wewe ni changamoto. Maana naona hata aina ya uandishi wa kuomba kazi kwako ni kikwazo kabisa.
Ebu kwaleo naomba niishie hapa, maana unaweza usichelewe kuhisi kama nimekutukana.
Kampuni za Tigo, Vodacom, Airtel huwa hawaajiri watu wa Telecom but Wana outsource kazi za Telecom kwa contractors Kama Huawei,Ericson,Nokia ambao nao wanafanya kazi chache tu then nyingine na wenyewe Wana outsource kwa kampuni zingine Kama Northern Engineering,Maktech,Pivotech ambako na kwenyewe kuingia hapo ni shughuli pevu inahitaji connection ya nguvu.Mtaalam samahani ningependa maelezo yako zaidi maana sijawai ona hizo kazi za remote zikitangazwa mahala popote,
Nipo interested sana kutaka kufahamu hao data analyst, automation engineers etc wanafanya kazi kwenye kampuni kama hizi labda TIgo, voda n.k maana mimi ni fresher na kipindi niko field(practical training) sikuona hao watu kwenye hizo kampuni za telecom kwenye department yoyote
achana na voda,tigo think off kufanya kazi na makampuni ya marekani ukiwa tanzania yaan remotely. what is needed is skills. mfano nakupa pa kuanzia gonga hii coz by the tme unamaliza utakuwa ushapata connection kibao https://www.coursera.org/professional-certificates/google-it-supportMtaalam samahani ningependa maelezo yako zaidi maana sijawai ona hizo kazi za remote zikitangazwa mahala popote,
Nipo interested sana kutaka kufahamu hao data analyst, automation engineers etc wanafanya kazi kwenye kampuni kama hizi labda TIgo, voda n.k maana mimi ni fresher na kipindi niko field(practical training) sikuona hao watu kwenye hizo kampuni za telecom kwenye department yoyote
Maktech,IPO vizuri sana,wana contract nyingi sana za kazi za telecom kutoka Voda,airtel,tigo,kufunga radios,BTS,radio planning,kwa ujumla kazi zote zinazohusu mawasiliano,Naombeni msaada wakuu