Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
hapa ni nguvu ya umma tu ndio suluhisho basiiiikampuni za oilcom,cameloil,bp na engen zimepewa masaa 24 kusitisha mgomo wao na kuanza kuuza mafuta kwa bei rasmi iliyotangazwa na ewura.endapo watakaidi amri,ewura imetishia kuziburuza mahakamani.wakati huo huo mheshimiwa zito kabwe ameshauri endapo kampuni hizi zitaendeleza mgomo,jwtz iingilie kati kwa kuvamia vituo vya mafuta kinguvu na kuuza mafuta kwa wananchi.
Hoja ya zito ina msingi wake hasa matumizi ya jeshi kwenye dharura. Pitia kwa kina majukumu ya jeshi (kama una fursa ya kujua) kisha jiulize maswali kwa nini rais ni amiri jeshi kama hakuna uhusiano wa jeshi na maisha ya raia. baada ya temporary solution then we tune to durable solution.Sikubaliani na Zitto hiyo ni temporary soln, kifupi serikali ijipange nayo kupitia kampuni yake tuone nini kitatokea.
Kampuni za OILCOM,CAMELOIL,BP na ENGEN zimepewa masaa 24 kusitisha mgomo wao na kuanza kuuza mafuta kwa bei rasmi iliyotangazwa na Ewura.Endapo watakaidi amri,Ewura imetishia kuziburuza mahakamani.Wakati huo huo mheshimiwa Zito Kabwe ameshauri endapo kampuni hizi zitaendeleza mgomo,JWTZ iingilie kati kwa kuvamia vituo vya mafuta kinguvu na kuuza mafuta kwa wananchi.
Hoja ya zito ina msingi wake hasa matumizi ya jeshi kwenye dharura. Pitia kwa kina majukumu ya jeshi (kama una fursa ya kujua) kisha jiulize maswali kwa nini rais ni amiri jeshi kama hakuna uhusiano wa jeshi na maisha ya raia. baada ya temporary solution then we tune to durable solution.
Mh. Mnyika kasema ana ushahidi unaothibitisha kwamba maafisa wa serikali wamehongwa. Leo muongozo kuhusu uthibitisho hakuna? Au asilimia kubwa ya waheshimiwa wabunge na mawaziri wa miongozo ya spika wanahusika?
Ushahidi wa Mnyika ni muhimu sana hasa hasa kwa jambo nyeti kama hili lililotikisa taifa.