Kampeni za UKAWA!

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,606
Pipoooz! Powerrrr.

Hivi naombeni kuuliza swali, huko mikoani Lowassa anapiga sera za kueleweka?

Au ni kama huku alipotwambia twende kwenye website, naona kila clip za video zinazotumwa wasapu ni Magufuli tu, Lowassa naona picha tu.

Kitengo cha habari UKAWA kijifikirie utendaji wake.
 
Unaishi wapi mkuu, au ni Mahaba tu ulonayo na ccm yamekufunga hadi uwezo wa kuona?
 
Unaishi wapi mkuu, au ni Mahaba tu ulonayo na ccm yamekufunga hadi uwezo wa kuona?

Mkuu niko Dar, nimeona tangazo kwamba atakuwa Mbezi mwisho, sasa nataka kujua kama huko kwengine anaongeaga ili angalau nijue kwamba nikienda ataongea. Last time nilikuwa so dissapointed, sitaki ijirudie.

Kama ni kwenye website nitafute kabisa badala ya kwenda.
 
piga kimya kampeni muda mdogo mtu mikutano minne kwa siku unataka aongee siatakufa ongea kidogo tu eleweka chanja mbuga na kura anapewa za kubebwa kwa macontena..

sisi tuna mahaba na mabadiliko
 
Ukiongea sana utafika wakati utaacha kunadi sera na kuongea mambo ambayo hayapo. mfano. nitaanzisha mahakama ya mafisa, mara polisi akiu jambazi hatashitakiwa hapa unamchanganya mwananchi.
 
Back
Top Bottom