Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 891
mgombea yuko.zanzibat katika ufunguzi wa kampeni.za seif
Mkiambiwa wababaishaji mnarusha ngumi. Hamkuwa na ratiba ya kampeni?
mgombea yuko.zanzibat katika ufunguzi wa kampeni.za seif
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
Wanasombelea watu kwanza kutoka moshi Arusha nk
Wanasombelea watu kwanza kutoka moshi Arusha nk
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
kampeni za fisadi mpaka aamue
Mgonjwa kaumwa tena? ama kweli CDM chizi kalogwa tena
Sema tu usiogope mbona imeshavuja mzee kapoteza kumbukumbu.
Mgombea kwa sasa anapata mapumziko kutokana na hali yake kiafya.
Hii picha anakueleza kwa nini hajatokea kwenye kampeni
[im![]()
Mkiambiwa wababaishaji mnarusha ngumi. Hamkuwa na ratiba ya kampeni?
Wanasombelea watu kwanza kutoka moshi Arusha nk
Asante kwa info pilusonyo
MAMBO 20 YANAYONIFANYA NISITHUBUTU HASILANI KUMPA KURA YANGU LOWASSA
1.Lowasa anaurafiki mkubwa na wafanyabiashara wakubwa ambo ni hatari sana kwa maendeleo
Ya watu wa chini
2.UFISADI ni mwiko kutamka mbele ya ukawa. Kumbe nazani ni kipaumbele chao.manake wataruhusu ufisadi
3.UKAWA, iko kushughulikia Katiba hivyo wako pale hawana target na dira imara (wamekurupuka)
4.lowasa kajeruiwa CCM so anachofanya ni kuikomoa CCM (ANALAZIMISHA MAJANI KUA NOTI) yuko tayari damu za watanzania zimwagike mradi Kuing'oa CCM.
5.lowasa angeingia IKULU Mawaziri wake ingekua vituko na pango zuri la walanguzi
6.ukawa naiogopa kama ukoma nkikumbuka marejui wake watatu toka CCM
7.Hana uwezo wa kusema mambo muhimu toka MOYONI kwa zaid ya dk 10 bila kudesa (KUCHUNGULIA KTK KARATASI)
8.Lowasa ni FISADI, MDINI, MNAFIKI, na anakosa sifa hata ya kuwa diwani
9.lowasa hatokua na maamuzi kama RAIS isipokua kile kitokacho mdomoni mwa MBOWE na akiwazacho MBATIA (ATAENDESHWA)
10.Lowasa anatoa ahadi za kitoto kama kufungulia wafungwa na magaidi jela, wamasai kule porini wajenge nyumba za mabati.duh...
11.MAGUFULI Hana doa, abanwi na Mfumo kama wachache wanavozani nani chapa kazi la uhakika. so kura yangu sina kinyongo kwa CCM
12.analolisema anahakikisha linatimia mapema maanake nchi itabadilika na watu watafuraia matunda ya mabadiliko
13.akishinda MAGUFULI (tingatinga) nae SAMIA SULUHU ndani. Hivyo wanawake wamepata mtetez wao ngazi ya juu zaidi. Na 50 kwa 50 atimae ioooooo....
14.Siku zote ninavyopiga kura Sipendi kuona ninaemchagua hashindi maana Najua MAGUFULI IKULU NI LAZIMA. Na ukawa mwisho Oct 24, 2015
15.Lazima tena lazima sauti ya mbowe itasikika tena katika vituo vya habari,tv, radio,magazeti na mitandaoni ikisema, ."KESHO tarehe...wana-UKAWA WOOOOTE NCHI NZIMA, TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUDAI LOWASA KAONEWA. Kitakachofuata ni Mimi au wewe au ndugu kupoteza maisha.
16 .viongozi wengi wa ukawa ni masharobaro, Kisaikologia ogopo sana mtu ambaye hapendi nywele kichwani, kidevuni( mbatia).
17.Ukawa wanatoa majibu mepesi na membamba kujibu tuhuma za mwanamapambano mahiri Dr. W.P. SLAA. Na prof Lipumba
18.kipaumbele cha ukawa hasa DILI
19.mfanano wa wanaounga mkono kwa kiasi kikubw ni MAJERUI wa uchumi, maisha magumu, na kukatwa.
20.Wameshindwa (ukawa)kufasili vema maneno UPUMBAVU, ULOFA na kirahisi tu kutumia kama msitu, tiketi na fimbo kuelekea ikulu
Pesa za kusomba watu zimekwisha. Sasa wanahaha kutafuta pesa kwa nguvu ila watu wanawakwepa. Sasa wamefika mahali hawana jinsi. Labda mfadhili wao Rostam atawahurumia!?
pamoja mkuu.
sinahakika kesho watakiwa wapi labda itakua hapo moro(sina uhakika).
Ila ijumaa ni Dodoma kwakishindo kuisambaratisha ngome ya ccm