Liverpool2005
Member
- Jul 20, 2011
- 43
- 39
Pia kulikuwa na tetesi ambazo sitaweza kuziweka hapa
Sema tu usiogope mbona imeshavuja mzee kapoteza kumbukumbu.
Kibandamaiti!!!!,VP ndio anafanya mazoezi ya mfu????.
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.